Loading...

YAMETIMIA NI RASMI JENGO LA WIZARA YA ARDHI LAKAMILIKA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA

Loading...
YAMETIMIA NI RASMI JENGO LA WIZARA YA ARDHI LAKAMILIKA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa YAMETIMIA NI RASMI JENGO LA WIZARA YA ARDHI LAKAMILIKA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : YAMETIMIA NI RASMI JENGO LA WIZARA YA ARDHI LAKAMILIKA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA
link : YAMETIMIA NI RASMI JENGO LA WIZARA YA ARDHI LAKAMILIKA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA

soma pia


YAMETIMIA NI RASMI JENGO LA WIZARA YA ARDHI LAKAMILIKA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA

 Sura ya halisi ya Jengo la Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi baada ya kukamilika rasmi katika mji wa Serikali Ihumwa mkoani Dodoma. Jengo hilo limejengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kupitia kampuni yake ya ujenzi.
 Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akiwa nje ya jengo la Wizara yake katika mji wa Serikali wa Ihumwa mkoani Dodoma alipotembelea leo tarehe 26 Machi 2019 kufuatia kukamilika ujenzi wake. Kushoto ni Mhandisi wa ujenzi wa jengo hilo kutoka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Grace Musita.
 Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akioongozwa na Mhandisi wa ujenzi wa jengo la Wizara kutoka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Grace Musita (Kushoto) leo tarehe 26 Machi 2019 alipotembelea kufuatia kukamilika ujenzi wa Ofisi za Wizara katika Mji wa Serikali Ihumwa Dodoma.
 Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akiooneshwa moja ya kazi zilizofanywa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika ujenzi wa jengo la Wizara na Mhandisi wa ujenzi Grace Musita alipotembelea kujionea kukamilika kwa ujenzi wa jengo hilo katika mji wa Serikali Ihumwa Dodoma leo tarehe 26 Machi 2019.
 Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akiooneshwa eneo la Makatibu Muhtasi wa ofisi ya Waziri na Mhandisi wa Ujenzi wa Jengo la Wizara ya Ardhi kutoka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Grace Musita alipotembelea kujionea kukamilika kwa ujenzi wa jengo hilo kwenye Mji wa Serikali Ihumwa Dodoma leo tarehe 26 Machi 2019.

 Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akiooneshwa eneo la kunawia maji katika moja ya maliwato ya ofisi ya Waziri na Mhandisi wa Ujenzi wa jengo la Wizara ya Ardhi kutoka Shirika la NHC Grace Musita alipotembelea kujionea kukamilika kwa ujenzi wa jengo hilo katika mji wa Serikali Ihumwa Dodoma leo tarehe 26 Machi 2019.
 Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa Ujenzi wa jengo la Wizara ya Ardhi kutoka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Grace Musita nje ya jengo alipotembelea kujionea kukamilika kwa ujenzi wa jengo hilo katika mji wa Serikali Ihumwa Dodoma leo tarehe 26 Machi 2019.
 Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza na akina mama wanaofanya usafi kwenye majengo ya Wizara yaliyopo katika Mji wa Serikali Ihumwa alipotembelea kujionea kukamilika kwa ujenzi wa jengo la Wizara ya Ardhi katika mji wa Serikali Ihumwa mkoani Dodoma leo tarehe 26 Machi 2019.(PICHA ZOTE NA MUNIR SHEMWETA-WIZARA YA ARDHI)


Hivyo makala YAMETIMIA NI RASMI JENGO LA WIZARA YA ARDHI LAKAMILIKA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA

yaani makala yote YAMETIMIA NI RASMI JENGO LA WIZARA YA ARDHI LAKAMILIKA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala YAMETIMIA NI RASMI JENGO LA WIZARA YA ARDHI LAKAMILIKA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/03/yametimia-ni-rasmi-jengo-la-wizara-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "YAMETIMIA NI RASMI JENGO LA WIZARA YA ARDHI LAKAMILIKA MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA"

Post a Comment

Loading...