Loading...

AIRTEL WATOA NAFASI 100 ZA MASOMO

Loading...
AIRTEL WATOA NAFASI 100 ZA MASOMO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AIRTEL WATOA NAFASI 100 ZA MASOMO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AIRTEL WATOA NAFASI 100 ZA MASOMO
link : AIRTEL WATOA NAFASI 100 ZA MASOMO

soma pia


AIRTEL WATOA NAFASI 100 ZA MASOMO

Airtel kupitia UFADHILI WA AIRTEL TUNAKUJALI tunatoa nafasi kwa vijana 100 kusoma masomo ya ufundi kutoka chuo ya VETA kupitia simu ya mkononi BURE. Masomo haya yatatolewa kwa njia ya simu ya mkononi kupitia VSOMO App inayopatikana Google Play Store Bure.

Mafunzo ya Vitendo yatatolewa katika vyuo vitatu vya VETA;
1. VETA KIPAWA- Dar es salaam
2. VETA Chang’ombe- Dar es salaam
3. VETA Dodoma- Dodoma

Masomo ya Ufundi yatolewayo ni;
1. Ufundi Umeme wa Majumbani
2. Ufundi Bomba
3. Urembo- Saluni za Kike
4. Upishi wa Vyakula na Kuhudumia Wateja (Catering Service)
5. Uokaji mikate na Vitafunwa

Kujisajili, Pakua Application ya VSOMO kupitia https://goo.gl/Dufimz , bonyeza kitufe cha AIRTEL TUNAKUJALI ili kujisajili.

Kwa maelezo Zaidi; 
Huduma Kwa Wateja: 0699 859 572/ 0699 859 573

Facebook Page: https://ift.tt/2UgBFLt

Instagram Page: https://ift.tt/2FKq0u3

Website: https://ift.tt/2UgBG1Z


Hivyo makala AIRTEL WATOA NAFASI 100 ZA MASOMO

yaani makala yote AIRTEL WATOA NAFASI 100 ZA MASOMO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AIRTEL WATOA NAFASI 100 ZA MASOMO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/airtel-watoa-nafasi-100-za-masomo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AIRTEL WATOA NAFASI 100 ZA MASOMO"

Post a Comment

Loading...