Loading...

BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

Loading...
BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
link : BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

soma pia


BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeidhinisha jumla ya Shilingi bilioni 55,175,163,302 kwa ajili ya matumizi ya kawaida na miradi ya maendeleo kwa Wizara ya Katiba na Taasisi zake.

Kati ya fedha hizo Shilingi Bilioni 47,283,566,000 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na mishahara na shilingi Bilioni 7,891,598,000 ni kwa ajili ya matumizi ya maendeleo.

Fedha zilizopitishwa ni kwa ajii ya Ofisi za Wizara ya Katiba na Sheria, Tume ya Utumishi wa Mahakama,Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Taifa ya Mashtaka, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora na Tume ya Kurekebisha Sheria.

Wizara pia iliomba Bunge liidhinishe shilingi Bilioni 126,162,464,756 kwa ajili ya Mfuko wa Mahakama . Kati ya Fedha hizo shilingi Bilioni 104,004,564,000 ni kwa ajili ya matumizi ya kawaida na shilingi Bilioni 22,157,900,576 ni kwa ajili ya matumizi ya maendeleo.


Hivyo makala BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

yaani makala yote BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/bunge-lapitisha-bajeti-ya-wizara-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BUNGE LAPITISHA BAJETI YA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA"

Post a Comment

Loading...