Loading...
title : BENKI YA STANBIC YATOA ZAWADI NA UJUMBE WA SHUKRANI KWA WATEJA
link : BENKI YA STANBIC YATOA ZAWADI NA UJUMBE WA SHUKRANI KWA WATEJA
BENKI YA STANBIC YATOA ZAWADI NA UJUMBE WA SHUKRANI KWA WATEJA
Ruth Bura mteja wa Benki ya Stanbic akifungua chupa ya ‘champagne’ na wafanyakazi wa benki hiyo, Edward Nyerere (kushoto), Jacquiline Michael (wa pili kushoto) na Elikaneny Uloto (kulia) wakati wa sherehe za wiki ya huduma kwa wateja katika Tawi la Centre. 
Mteja wa Benki ya Stanbic, Aisha Sykes akimshukuru Bw. Fredrick Mushi, mhudumu wake wa benki, baada ya kumpatia ujumbe wa kumshukuru kwa kuwa mteja wa benki ya Stanbic. Benki ya Stanbic imesherehekea wiki hii ya huduma kwa wateja kwa kuwapa zawadi wateja wao na kuwashukuru kwa kuendelea kuwa wateja wa benki hiyo.
Mshauri wa wateja wa Benki ya Stanbic akimpa mteja wake ujumbe wa shukurani kwa kufanya miamala yake ya kibenki na Stanbic wakati wa sherehe za wiki ya huduma kwa wateja katika Tawi la Centre.
Meneja wa Benki ya Stanbic Tawi la Centre, Bw. Adelhem Msiagi akimpa mteja wao ujumbe wa shukurani kwa kuchagua kufanya miamala yake ya kibenki na benki ya Stanbic wakati wa sherehe za wiki ya huduma kwa wateja katika tawi la Centre.

Hivyo makala BENKI YA STANBIC YATOA ZAWADI NA UJUMBE WA SHUKRANI KWA WATEJA
yaani makala yote BENKI YA STANBIC YATOA ZAWADI NA UJUMBE WA SHUKRANI KWA WATEJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA STANBIC YATOA ZAWADI NA UJUMBE WA SHUKRANI KWA WATEJA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/benki-ya-stanbic-yatoa-zawadi-na-ujumbe.html
0 Response to "BENKI YA STANBIC YATOA ZAWADI NA UJUMBE WA SHUKRANI KWA WATEJA"
Post a Comment