Loading...

DC Joketi Mwegelo awasihi vijana kutenda matendo mema

Loading...
DC Joketi Mwegelo awasihi vijana kutenda matendo mema - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC Joketi Mwegelo awasihi vijana kutenda matendo mema, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC Joketi Mwegelo awasihi vijana kutenda matendo mema
link : DC Joketi Mwegelo awasihi vijana kutenda matendo mema

soma pia


DC Joketi Mwegelo awasihi vijana kutenda matendo mema

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Joketi Mwegelo akizungumza katika maadhimisho ya Siku Kutenda Mema iliyofanyika viwanja vya Don Bosco jijini Dar es Salaam.

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Joketi Mwegelo amesema kuwa ukuta kwa vijana ni kutenda matendo yaliyo mema ikiwemo kusaidia au kutoa msaada pale penye uhitaji, wakati wa Maadhimisho ya Siku Kutenda Mema 'Good Deeds Day' iliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco Jijini Dar es Salaam.

Amesema hata vitabu vya Mungu vinafundisha kutenda mema ikiwemo kutoa pale panapohitajika na mafanikio yake yataonekana kwa kile ambacho mtu anajitoa. Mwegelo amesema hata yeye katika harakati zake vijana wenzake wamekuwa na mchango mkubwa wa kujitoa bila kuangalia maslahi ya kifedha.

Aidha amesema kuwa maadhimidlsho ya siku ya kutenda mema iwe ni njia ya jamii kuangalia vitu vya kufanya katika kusaidia watu wengine.

Naye Mwenyekiti wa Vipco na Mratibu wa Maadhimisho hayo, Emmanuel Makundi amesema kuwa wameandaa maadhimisho kwa kutambua matendo mema ndio nguzo ya amani, na matendo mema ni pamoja kuhakikisha kila mmoja anaishi kwa amani.

Makundi amesema wamefanya mambo mbalimbali ya jamii na watu wamekuwa na mwitikio katika kuwaunga mkono wa kusaidia watu wengine.

Afisa Uhamasishaji wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama Mkoa wa Dar es Salaam, Mariam Juma amesema kuwa mahitaji ya damu kwa nchi ni chupa laki tano lakini ukusanyaji umefikia laki tatu hivyo wanahitaji wananchi wajitokeze katika kuchangia damu.
 Mwenyekiti wa VIPCO Emmanuel Makundi akizungumza kuhusiana na maadhimisho ya siku ya kutenda mema na mchango wa wadau mbalimbali yaliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco jijini Dar es Salaam.
 Vijana wakichangia Damu katika maadhimisho ya Siku Kutenda Matendo mema yaliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco jijini Dar es Salaam.
 Afisa Uhamasishaji wa Mpango wa Taifa wa Damu Salama Mkoa wa Dar es Salaam Mariam Juma akizungumza hali ya uchangiaji wa damu katika maadhimisho ya Siku ya Kutenda Mema iliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco Jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja wakitangaza amani katika maadhimisho ya siku ya kutenda matendo Mema iliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco jijini Dar es Salaam.


Hivyo makala DC Joketi Mwegelo awasihi vijana kutenda matendo mema

yaani makala yote DC Joketi Mwegelo awasihi vijana kutenda matendo mema Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC Joketi Mwegelo awasihi vijana kutenda matendo mema mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/dc-joketi-mwegelo-awasihi-vijana.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DC Joketi Mwegelo awasihi vijana kutenda matendo mema"

Post a Comment

Loading...