Loading...
title : Mashabiki waliomkosha Ommy Dimpoz wafanyiwa Shopingi GSM Mall
link : Mashabiki waliomkosha Ommy Dimpoz wafanyiwa Shopingi GSM Mall
Mashabiki waliomkosha Ommy Dimpoz wafanyiwa Shopingi GSM Mall
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz akiwafanyia shopingi mashabiki wake wawili wa Muziki katika maduka ya GSM Mall yaliyopo eneoa la Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam jana. Dimpoz aliwazawadia mashabiki wake wawili hao baada ya kuwachagua kupitia Instagram wakiwa wanafuatilia muziki wake mara nyingi
Hivyo makala Mashabiki waliomkosha Ommy Dimpoz wafanyiwa Shopingi GSM Mall
yaani makala yote Mashabiki waliomkosha Ommy Dimpoz wafanyiwa Shopingi GSM Mall Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mashabiki waliomkosha Ommy Dimpoz wafanyiwa Shopingi GSM Mall mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/mashabiki-waliomkosha-ommy-dimpoz.html
0 Response to "Mashabiki waliomkosha Ommy Dimpoz wafanyiwa Shopingi GSM Mall"
Post a Comment