Loading...
title : JESHI NCHINI SUDAN LASUBIRIWA KUTOA TAMKO
link : JESHI NCHINI SUDAN LASUBIRIWA KUTOA TAMKO
JESHI NCHINI SUDAN LASUBIRIWA KUTOA TAMKO
*Lazingira makazi ya Omar Al Bashir, Bint Alaa (22) azidi kuwa maarufu
Na Leandra Gabriel, Blogu ya Jamii
JESHI la Sudan linasubiriwa kutoa Kauli Muhimu mara baada ya kuzingira makazi ya Omar Al Bashir ambaye amekuwepo madarakani kwa muda wa miaka 30.
Katika Maandamano ya kumlazimisha kiongozi huyo kung'oka madarakani, Binti Alaa Salah amekuwa ni Ishara ya Mapinduzi na amehusika katika kuchochea vijana kuingia mtaani kuidai
Nchi Yao. Alaa ana miaka 22 na ni mwanafunzi wa uhandisi chuo kikuu cha kimaifa cha Sudan.
Maandamano hayo ya kumshinikiza Omar Al Bashir kung'oka madarakani yalianza Disemba mwaka jana na hiyo ni baada ya kupanda kwa gharama za maisha na bei ya mkate.
Ikumbukwe kuwa Kuna hati ya kumkamata Bashir iliyotolewa na Mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai (ICC.)
Hivyo makala JESHI NCHINI SUDAN LASUBIRIWA KUTOA TAMKO
yaani makala yote JESHI NCHINI SUDAN LASUBIRIWA KUTOA TAMKO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JESHI NCHINI SUDAN LASUBIRIWA KUTOA TAMKO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/jeshi-nchini-sudan-lasubiriwa-kutoa.html
0 Response to "JESHI NCHINI SUDAN LASUBIRIWA KUTOA TAMKO"
Post a Comment