Loading...

Mchezo wa Fainali ya Kombe la Muungano Kati ya Jangombe Boys na Pan African Itakayofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Kesho.26/4/2019.

Loading...
Mchezo wa Fainali ya Kombe la Muungano Kati ya Jangombe Boys na Pan African Itakayofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Kesho.26/4/2019. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mchezo wa Fainali ya Kombe la Muungano Kati ya Jangombe Boys na Pan African Itakayofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Kesho.26/4/2019., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mchezo wa Fainali ya Kombe la Muungano Kati ya Jangombe Boys na Pan African Itakayofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Kesho.26/4/2019.
link : Mchezo wa Fainali ya Kombe la Muungano Kati ya Jangombe Boys na Pan African Itakayofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Kesho.26/4/2019.

soma pia


Mchezo wa Fainali ya Kombe la Muungano Kati ya Jangombe Boys na Pan African Itakayofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Kesho.26/4/2019.

Na Mwajuma Juma
FAINALI ya kombe la Muungano kwa mchezo wa mpira wa miguu inatarajiwa kupigwa kesho Ijumaa mjini hapa.

Fainali hiyo ambayo itawakutanisha Kati ya mabingwa watetezi wa kombe  Jang'ombe Boys ya Zanzibar na Pan African mabingwa wa Mkoa wa Dar Es Salaam itachezwa kwenye uwanja wa Amaan visiwani hapa.

Katibu Kamati ya mashindano hayo hapa Zanzibar Kijo Nadir Nyoni alimwambia mwaandishi wa habari hizi kwamba maandalizi kwa ajili ya mchezo huo yapo sawa na wanachosubiri ni timu kutoka dar ambayo itawasili Ijumaa yenyewe ya siku ya mchezo asubuhi na jioni watacheza mechi.

Alisema kuwa katika mchezo huo kiingilio ni shilingi elfu moja na mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Diwani wa Kata ya Usaranga Kimara jijini Dar Es Salaam.

Alisema kuwa wanashukuru maandalizi yanaenda Kama walivyopanga na kutoa shukrani zao kwa kamishna wa michezo Sharifa Khamis kwa kuwaunga mkono kwa kiasi kikubwa Sana.

Awali kabla ya fainali hiyo walipanga kuchezwe mechi za mtoano ili kupatikane bingwa atakaecheza fainali hiyo lakini ilishindikana kutokana na ratiba ya uwanja na timu ambazo walizichukuwa zinabanwa na ratiba ya michezo yao.

Hivyo wameona ichezwe moja kwa moja fainali na timu bingwa mtetezi wa kombe hilo ambae ni Jang'ombe Boys.


Hivyo makala Mchezo wa Fainali ya Kombe la Muungano Kati ya Jangombe Boys na Pan African Itakayofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Kesho.26/4/2019.

yaani makala yote Mchezo wa Fainali ya Kombe la Muungano Kati ya Jangombe Boys na Pan African Itakayofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Kesho.26/4/2019. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mchezo wa Fainali ya Kombe la Muungano Kati ya Jangombe Boys na Pan African Itakayofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Kesho.26/4/2019. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/mchezo-wa-fainali-ya-kombe-la-muungano.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mchezo wa Fainali ya Kombe la Muungano Kati ya Jangombe Boys na Pan African Itakayofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Kesho.26/4/2019."

Post a Comment

Loading...