Loading...
title : MKUU WA MKOA WA MTWARA AWATOA WANANCHI KUFUATIA KIMBUKA KENNETH
link : MKUU WA MKOA WA MTWARA AWATOA WANANCHI KUFUATIA KIMBUKA KENNETH
MKUU WA MKOA WA MTWARA AWATOA WANANCHI KUFUATIA KIMBUKA KENNETH
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa akizungumza pamoja na kuwatoa hofu wakazi wa mkoa huo na watanzania kwa ujumla juu ya hali ya uwepo wa kimbunga Kenneth kinachoelezwa kutokea katika baadhi ya maeneo ya mkoa huo, wakati alipotembelea kwenye eneo la uwanja wa ndege wa mkoa huo na kuwatoa hofu juu ya taarifa zinazoenea kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa hali siyo shwari, RC Byakanwa amesema hali ni shwari hadi hivi sasa siyo kama taarifa hizo zinavyoenezwa.(PICHA NA FATNA MWINYIMKUU).
Wakazi mkoani Mtwara leo wakiyakimbia makazi yao na kukimbila shule ya msingi Tandika mkoani hapa eneo ambalo serikali ya mkoa wa mtwara imetangaza kuwa yatakuwa salama kwao hata kama kimbunga keneth kitatokea kwani madhara hayatakuwa makubwa kwao.
Hivyo makala MKUU WA MKOA WA MTWARA AWATOA WANANCHI KUFUATIA KIMBUKA KENNETH
yaani makala yote MKUU WA MKOA WA MTWARA AWATOA WANANCHI KUFUATIA KIMBUKA KENNETH Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA MKOA WA MTWARA AWATOA WANANCHI KUFUATIA KIMBUKA KENNETH mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/mkuu-wa-mkoa-wa-mtwara-awatoa-wananchi.html
0 Response to "MKUU WA MKOA WA MTWARA AWATOA WANANCHI KUFUATIA KIMBUKA KENNETH"
Post a Comment