Loading...
title : WAFANYABIASHARA KIZIMBANI KWA TUHUMA YA KUJIPATIA ZAIDI YA SHILINGI 150 KWA NJIA YA UDANGANYIFU
link : WAFANYABIASHARA KIZIMBANI KWA TUHUMA YA KUJIPATIA ZAIDI YA SHILINGI 150 KWA NJIA YA UDANGANYIFU
WAFANYABIASHARA KIZIMBANI KWA TUHUMA YA KUJIPATIA ZAIDI YA SHILINGI 150 KWA NJIA YA UDANGANYIFU
Na Karama Kenyunko, Globu ya Jamii.
WAFANYABASHRA wawili wakazi wa jijini Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na tuhuma za kula njama na kijipatia zaidi ya sh. Milioni 150 kwa njia ya udanganyifu .
Washtakiwa hao, Laurean Wambura (60) anaishi Mbezi Mshikamano na Allan Kwayu (25) wa Bunju Baharini wamesomewa mashtaka yao mbele ya Hakimu Mkazi, Augustina Mmbando.
Imedaiwa, katika siku tofauti tofauti kati ya Oktoba 2018 na Februari 2019, jijini Dar es Salaam, washtakiwa walitenda kosa la kujipatia RedHawks kwa njia ya udanganyifu.
Katika shtaka la pili, imedaiwa kati ya Januari 29 na February 27 mwaka huu, katika benki ya Exim tawi la Samora Avenue, washtakiwa kwa nia ya kudanganya au kutapeli, walijipatia USD 66,000 ambazo ni sawa na Sh. 150,678000 kutoka kwenye Akaunti ya Apollo international. Kwa kudanganya kuwa wangewauzia copper Cathodes huku wakijua kuwa siyo kweli.
Hata hivyo, washtakiwa wako nje kwa dhamana baada ya kutimiza masharti ya mahakama yaliyowataka kuwa na wadhamini wawili kila mmoja na kuwasilisha hati ya Mali isiyohamishika yenye thamani ya nusu ya fedha wanazodaiwa kutapeli.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi Mei 2, mwaka huu.

Hivyo makala WAFANYABIASHARA KIZIMBANI KWA TUHUMA YA KUJIPATIA ZAIDI YA SHILINGI 150 KWA NJIA YA UDANGANYIFU
yaani makala yote WAFANYABIASHARA KIZIMBANI KWA TUHUMA YA KUJIPATIA ZAIDI YA SHILINGI 150 KWA NJIA YA UDANGANYIFU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYABIASHARA KIZIMBANI KWA TUHUMA YA KUJIPATIA ZAIDI YA SHILINGI 150 KWA NJIA YA UDANGANYIFU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/wafanyabiashara-kizimbani-kwa-tuhuma-ya.html
0 Response to "WAFANYABIASHARA KIZIMBANI KWA TUHUMA YA KUJIPATIA ZAIDI YA SHILINGI 150 KWA NJIA YA UDANGANYIFU"
Post a Comment