Loading...
title : MWENYEKITI WA CCM TAIFA RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM (NEC) IKULU CHAMWINO JIJINI DODOMA
link : MWENYEKITI WA CCM TAIFA RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM (NEC) IKULU CHAMWINO JIJINI DODOMA
MWENYEKITI WA CCM TAIFA RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM (NEC) IKULU CHAMWINO JIJINI DODOMA
Wajumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) wakitoka kwenye kikao chao kilichofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatatu Aprili 15, 2019
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Bashiru Ally akiongea na Wajumbe wa Kamati kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama hicho (NEC) kabla ya kuanza kwa kikao chao kilichofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt. John Pombe Magufuli Jumatatu Aprili 15, 2019
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli na MAkamu Mwenykiti wa CCM (VIsiwani) na Rais wa Zanzibar na Baraa la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein wakitoka kwenye kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama hicho (NEC) kilichofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli na MAkamu Mwenykiti wa CCM (VIsiwani) na Rais wa Zanzibar na Baraa la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein wakitoka kwenye kikao chaKamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama hicho (NEC) kilichofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma leo Jumatatu Aprili 15, 2019
Hivyo makala MWENYEKITI WA CCM TAIFA RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM (NEC) IKULU CHAMWINO JIJINI DODOMA
yaani makala yote MWENYEKITI WA CCM TAIFA RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM (NEC) IKULU CHAMWINO JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWENYEKITI WA CCM TAIFA RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM (NEC) IKULU CHAMWINO JIJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/mwenyekiti-wa-ccm-taifa-rais-dkt_15.html
0 Response to "MWENYEKITI WA CCM TAIFA RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM (NEC) IKULU CHAMWINO JIJINI DODOMA"
Post a Comment