Loading...

Wananchi wa Kijiji cha Msuka Wapata Elimu ya Mpango wa Ushirikiano Kuibua Viapaumbele Vyao.

Loading...
Wananchi wa Kijiji cha Msuka Wapata Elimu ya Mpango wa Ushirikiano Kuibua Viapaumbele Vyao. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wananchi wa Kijiji cha Msuka Wapata Elimu ya Mpango wa Ushirikiano Kuibua Viapaumbele Vyao., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wananchi wa Kijiji cha Msuka Wapata Elimu ya Mpango wa Ushirikiano Kuibua Viapaumbele Vyao.
link : Wananchi wa Kijiji cha Msuka Wapata Elimu ya Mpango wa Ushirikiano Kuibua Viapaumbele Vyao.

soma pia


Wananchi wa Kijiji cha Msuka Wapata Elimu ya Mpango wa Ushirikiano Kuibua Viapaumbele Vyao.

 
AFISA Elimu Wilaya ya Micheweni Tarehe Khamis akizungumza na wananchi wa Msuka Mashariki, kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya hiyo juu ya kuanzishwa kwa mpango wa mashauriano utakaoweza kuwafanya wakaibua vipaombele vyao, mkutano  uliofanyika katika Viwanja vya Ungi Msuka Wilaya ya Micheweni. 
AFISA Mipango Kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa  Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ Pemba, Juma Faki Mtumweni akizungumzia mikakati ya Tawala za Mikoa katika suala zima la madaraka mikoani katika kuwasaidia wananchi, wakati wa mkutano wa mashauriano uliofanyika katika viwanja vya ungi Msuka
MRATIBU wa Taasisi ya Milele  Zanzibar Foundation ofiis ya Pemba, Abdalla Said Abdalla (DULA DII) akizungumzia mikakati ya taasisi ya Milele, kwa wananchi wa Msuka Mashariki wakati wa Mkutano wa Mashauriano uliofanyika katika Viwanja vya Ungi Msuka Wilaya ya Micheweni.


AFISA Miradi kutoka Milele Zanzibar Faoundatin Aleis Mushi, akitoa maelezo juu ya wananchi kutoa vipaombele vyao wakati wamkutano wa mashauriano uliofanyika katika viwanja vya msuka mshariki Wilaya ya Micheweni
WANANCHI wa Ungi Msuka Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakifuatia ufunguzi wa mkutano wa mashauriano utakoweza kuwapa nafasi ya kuibua vipaombele vitakavyoweza kuwasaida hapo baadae, mkutano uliofanyika katika Viwanja vya Ungi Msuka Wilaya ya Micheweni.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


Hivyo makala Wananchi wa Kijiji cha Msuka Wapata Elimu ya Mpango wa Ushirikiano Kuibua Viapaumbele Vyao.

yaani makala yote Wananchi wa Kijiji cha Msuka Wapata Elimu ya Mpango wa Ushirikiano Kuibua Viapaumbele Vyao. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wananchi wa Kijiji cha Msuka Wapata Elimu ya Mpango wa Ushirikiano Kuibua Viapaumbele Vyao. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/wananchi-wa-kijiji-cha-msuka-wapata.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wananchi wa Kijiji cha Msuka Wapata Elimu ya Mpango wa Ushirikiano Kuibua Viapaumbele Vyao."

Post a Comment

Loading...