Loading...

MWILI WA MAREHEMU MZEE LUTUMBA SIMARO MASIYA KUZIKWA JUMAPILI JIJINI KINSHASA

Loading...
MWILI WA MAREHEMU MZEE LUTUMBA SIMARO MASIYA KUZIKWA JUMAPILI JIJINI KINSHASA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWILI WA MAREHEMU MZEE LUTUMBA SIMARO MASIYA KUZIKWA JUMAPILI JIJINI KINSHASA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MWILI WA MAREHEMU MZEE LUTUMBA SIMARO MASIYA KUZIKWA JUMAPILI JIJINI KINSHASA
link : MWILI WA MAREHEMU MZEE LUTUMBA SIMARO MASIYA KUZIKWA JUMAPILI JIJINI KINSHASA

soma pia


MWILI WA MAREHEMU MZEE LUTUMBA SIMARO MASIYA KUZIKWA JUMAPILI JIJINI KINSHASA

Mwili wa mwanamuziki mkongwe wa muziki rhumba wa nchini DR Congo, Marehemu Lutumba Simaro Masiya ukifanyiwa ibada ya kuuaga katika moja ya kanisa huki jijini Paris, Ufaransa leo, ambapo unatarajiwa kuusafirisha na ndege ya "Air France" kuelekea Kinshasa, nchini Congo kwa mazishi.

Mwili wa Marehemu Lutumba Simaro Masiya ukiwasili jijini Kinshasa, moja kwa moja utapelekwa kuhifadhiwa "Mortuary katika hospitali De Cinquantenaire, na baadaye kupewa heshima za mwisho bungeni, kabla ya kufika bungeni, atapitishwa nyumbani kweke, na kufikishwa pia kwenye "Lutumba Monument"sehemu yenye mnara wa kumbukumbu yake ili kuwapa nafasi wapenzi wa muziki wake kuuaga mwili wa mpendwa wao.

Mwili wa marehemu Lutumba Simaro Masiya utalazwa kwenye makazi yake ya milele kwenye makaburi ya "Nécropole Entre Terre et Ciel", jijini Kinshasa siku ya jumapili Aprili 29, 2019..

Marehemu Lutumba Simaro Masiya ambaye jina lake halisi ni "Apa Simon Lutumba Ndomanueno" alifariki Machi 30, 2019 jijini Paris nchini Ufaransa, akiwa na umri wa miaka 81. Atakumbukwa kwa nyimbo zake nyingi ikiwemo "Maya" (unaweza iangalia hapa chini).

Sehemu ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Marehemu Lutumba Simaro Masiya, walipokuwa wakitoka kanisani kulikofanyika ibada maalum ya kuaga, jijini Paris Ufaranza.
Ankal pia anamkumbuka Mkongwe huyo wa Muziki wa Rhumba. Mungu ailaze pema peponi roho yake - Ameen


Hivyo makala MWILI WA MAREHEMU MZEE LUTUMBA SIMARO MASIYA KUZIKWA JUMAPILI JIJINI KINSHASA

yaani makala yote MWILI WA MAREHEMU MZEE LUTUMBA SIMARO MASIYA KUZIKWA JUMAPILI JIJINI KINSHASA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MWILI WA MAREHEMU MZEE LUTUMBA SIMARO MASIYA KUZIKWA JUMAPILI JIJINI KINSHASA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/mwili-wa-marehemu-mzee-lutumba-simaro.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MWILI WA MAREHEMU MZEE LUTUMBA SIMARO MASIYA KUZIKWA JUMAPILI JIJINI KINSHASA"

Post a Comment

Loading...