Loading...

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA MBEYA-LWANJILO-CHUNYA KM 72 NA KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA CHUNYA-MAKONGOLOSI KM 39 CHUNYA MKOANI MBEYA

Loading...
RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA MBEYA-LWANJILO-CHUNYA KM 72 NA KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA CHUNYA-MAKONGOLOSI KM 39 CHUNYA MKOANI MBEYA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA MBEYA-LWANJILO-CHUNYA KM 72 NA KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA CHUNYA-MAKONGOLOSI KM 39 CHUNYA MKOANI MBEYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA MBEYA-LWANJILO-CHUNYA KM 72 NA KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA CHUNYA-MAKONGOLOSI KM 39 CHUNYA MKOANI MBEYA
link : RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA MBEYA-LWANJILO-CHUNYA KM 72 NA KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA CHUNYA-MAKONGOLOSI KM 39 CHUNYA MKOANI MBEYA

soma pia


RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA MBEYA-LWANJILO-CHUNYA KM 72 NA KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA CHUNYA-MAKONGOLOSI KM 39 CHUNYA MKOANI MBEYA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli, pamoja na viongozi mbalimbali Wabunge, Mawaziri, Viongozi wa Mkoa wa Mbeya, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mitambo itakayotumika katika ujenzi wa barabara ya Chunya hadi Makongolosi km 39 itakayojengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika Chunya mkoani Mbeya.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chhalamila mara baada ya kufungua barabara ya kutoka Mbeya-Lwanjilo-Chunya yenye jumla ya kilometa 72.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi wengine akivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa barabara itakayojengwa kwa kiwango cha lami kutoka Chunya hadi Makongolosi km 39.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth Magufuli, pamoja na viongozi mbalimbali Wabunge, Mawaziri, Viongozi wa Mkoa wa Mbeya, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Barabara ya  Mbeya-Lwanjilo-Chunya yenye jumla ya kilometa 72 iliyokamika kujengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika Chunya mkoani Mbeya.
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa Sabasaba Wilayani Chunya kwa ajili ya kuzungumza na wananchi katika mkutano wa Hadhara.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono kuwasalimia wananchi waliokusanyika katika uwanja wa Sabasaba Chunya kabla ya kuwahutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaDkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mhandisi Profesa Ninatubu Lema kutoka Wizara ya Ujenzi wakati alipowasili katika uwanja wa Sabasaba Chunya mkoani Mbeya. PICHA NA IKULU


Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA MBEYA-LWANJILO-CHUNYA KM 72 NA KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA CHUNYA-MAKONGOLOSI KM 39 CHUNYA MKOANI MBEYA

yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA MBEYA-LWANJILO-CHUNYA KM 72 NA KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA CHUNYA-MAKONGOLOSI KM 39 CHUNYA MKOANI MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA MBEYA-LWANJILO-CHUNYA KM 72 NA KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA CHUNYA-MAKONGOLOSI KM 39 CHUNYA MKOANI MBEYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/rais-dkt-magufuli-afungua-barabara-ya_27.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA BARABARA YA MBEYA-LWANJILO-CHUNYA KM 72 NA KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA CHUNYA-MAKONGOLOSI KM 39 CHUNYA MKOANI MBEYA"

Post a Comment

Loading...