Loading...
title : Wajumbe wa kamati ya maendeleo ya watumishi wa umma wafanya usafi hospitali ya Vitongoji
link : Wajumbe wa kamati ya maendeleo ya watumishi wa umma wafanya usafi hospitali ya Vitongoji
Wajumbe wa kamati ya maendeleo ya watumishi wa umma wafanya usafi hospitali ya Vitongoji
MJUMBE wa kamati ya Maendeleo ya watumishi wa Umma Pemba Hidaya Yussuf, akimkabidhi sabuni mama moja ambaye anamuuguza mtoto wake katika hodi ya watoto Hopitali ya Vitongoji Chake Chake Pemba, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 55 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.(PICHA NA SHAIBU KIFAYA PEMBA)
WAJUMBE wa kamati ya Maendeleo ya watumishi wa Umma Pemba,wakifanya usafi kwa kukata majani katika Hospitali ya Vitongoji, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 55 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAJUMBE wa kamati ya Maendeleo ya watumishi wa Umma Pemba,wakifanya usafi kwa kukata majani katika Hospitali ya Vitongoji, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 55 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Hivyo makala Wajumbe wa kamati ya maendeleo ya watumishi wa umma wafanya usafi hospitali ya Vitongoji
yaani makala yote Wajumbe wa kamati ya maendeleo ya watumishi wa umma wafanya usafi hospitali ya Vitongoji Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wajumbe wa kamati ya maendeleo ya watumishi wa umma wafanya usafi hospitali ya Vitongoji mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/wajumbe-wa-kamati-ya-maendeleo-ya.html
0 Response to "Wajumbe wa kamati ya maendeleo ya watumishi wa umma wafanya usafi hospitali ya Vitongoji"
Post a Comment