Loading...
title : Waziri wa Fedha na Mipango ziarani Pemba
link : Waziri wa Fedha na Mipango ziarani Pemba
Waziri wa Fedha na Mipango ziarani Pemba
AFISA Mdhamini Wizara ya Fedha na Mipango Pemba, Ibrahim Saleh Juma, akimuonyesha Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Balozi Mohamed Ramia, sehemu ambayo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK. Ali Mohamed Shein, atweza kulizindua jengo la Taasisi nne za SMZ Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA Mdhamini Wizara ya Fedha na Mipango Pemba, Ibrahim Saleh Juma, akimuonyesha waziri wa Wizara hiyo Balozi Mohamed Ramia, eneo ambalo baadhi ya magari yanaweza kupaki wakati wa uzinduzi wa jengo la Taasisi nne za SMZ Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA Mdhamini Wizara ya Fedha na Mipango Pemba, Ibrahim Saleh Juma, akitoa malezo juu ya jengo la taasisi nne za SMZ kwa Waziri wa Wizara hiyo, Balozi Mohamed Ramia wakati alipotembelea sehemu ya Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto .(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAZIRI wa Fedha na Mipango Zanzibar Balozi Mohamed Ramia, akipata maelezo na baadhi ya watendaji wake, juu ya mifumo ya CCTV Kamera zinavyofanya kazi ndani ya jengo la taasisi nne za SMZ lililopo Gombani, wakati wa ziara yake ya kukagua jengo hilo kuelekea uzinduzi wake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
WAZIRI wa Fedha na Miopango Zanzibar Balozi Mohamed Ramia, akizungumza na wakuu wa maidara na taasisi zilizomo katika Wizara yake, huko katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA Mdhamini Wizara ya Fedha na Mipango Pemba Ibrahim Saleh Juma, akizungumza katika kikao cha wakuu wa maidara wa vitengo ambavyo vipo chini ya Wizara hiyo, pamoja na wafanyakazi wote, huko katika ukumbi wa Wizara ya Fedha Gombani..(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AADHI ya watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango Pemba, wakifuatilia kwa makini kikao na Waziri wa Wizara hiyo, Bolozi Mohamed Ramia kikao kilichofanyka katika ukumbi wa Wizara hiyo Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AADHI ya watendaji wa Wizara ya Fedha na Mipango Pemba, wakifuatilia kwa makini kikao na Waziri wa Wizara hiyo, Bolozi Mohamed Ramia kikao kilichofanyka katika ukumbi wa Wizara hiyo Gombani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Hivyo makala Waziri wa Fedha na Mipango ziarani Pemba
yaani makala yote Waziri wa Fedha na Mipango ziarani Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri wa Fedha na Mipango ziarani Pemba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/waziri-wa-fedha-na-mipango-ziarani-pemba.html
0 Response to "Waziri wa Fedha na Mipango ziarani Pemba"
Post a Comment