Loading...
title : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Azungumza na Mwakilishi wa UNICEF Tanzania.
link : Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Azungumza na Mwakilishi wa UNICEF Tanzania.
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Azungumza na Mwakilishi wa UNICEF Tanzania.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwakilishi wa UNICEF Tanzania Maniza Sultan Zaman, walipokutana kwa mazungumzo, ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni, jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mwakilishi wa UNICEF Tanzania Maniza Sultan Zaman,ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni, jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akioneshwa picha ya watoto na Mwakilishi wa UNICEF Tanzania Maniza Sultan Zaman, baada ya mazungumzo yao, ofisini Magogoni, jijini Dar es Salaam Aprili 11, 2019.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Hivyo makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Azungumza na Mwakilishi wa UNICEF Tanzania.
yaani makala yote Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Azungumza na Mwakilishi wa UNICEF Tanzania. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Azungumza na Mwakilishi wa UNICEF Tanzania. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/04/waziri-mkuu-wa-jamuhuri-ya-muungano-wa_12.html
0 Response to "Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Azungumza na Mwakilishi wa UNICEF Tanzania."
Post a Comment