Loading...
title : MRADI WA KUHAMASISHA WANAWAKE NA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA UWAKILISHI WA KISIASA (WRPRE PROJECT) WAZINDULIWA
link : MRADI WA KUHAMASISHA WANAWAKE NA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA UWAKILISHI WA KISIASA (WRPRE PROJECT) WAZINDULIWA
MRADI WA KUHAMASISHA WANAWAKE NA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA UWAKILISHI WA KISIASA (WRPRE PROJECT) WAZINDULIWA
Kamishna wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Bi. Asina Omary akisoma hotuba yake wakati wa uzinduzi wa Mradi wa Woman And Youth Political Participation Enhanced In 2019 Aand 2020 General Election In Tanzania uliofanyika kwenye hoteli ya New Africa jijini Dar es salaam leo na kushirikisha wadau mbalimbali kutoka ,Serikalini. Vyama vya siasa, Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali na Asasi za Kiraia.
Mradi huo utakaotekelezwa na Chama cha Wanasheria Wanawake TAWLA na TYC na WE Effect huku ukifadhiliwa na Jumuiya ya Ulaya kwa kiasi cha sh ilingi Bilioni 1.4na utatekelezwa kwa miaka mitatu.
Lengo la Mradi huo ni Kuongeza Ushiriki wa wanawake na vijana kwenye uwakilishi wa kisiasa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2019-2020 katika ngazi zote za uongozi kuanzia ngazi za vijiji hadi taifa, Mradi huu pia unalenga kuangalia vizuizi vinavyokwamisha wanawake na vijana kushiriki kwenye mchakato wa kugombea uongozi wa kisiasa na kuangalia ni jinsi gani vizuizi hivyo vinaweza kutatuliwa.
Mwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki Bw. Roeland Van De Geer akitoa ujumbe wake kwa wageni waalikwa katika uzinduzi wa mradi huo, Jumuiya ya Ulaya ndiyo iliyofadhili mradi huo .
Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria wanawake TAWLA B. Athanasia Soka akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi huo uliofanyika kwenye hoteli ya New Africa jijini Dar es salaam.
Hivyo makala MRADI WA KUHAMASISHA WANAWAKE NA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA UWAKILISHI WA KISIASA (WRPRE PROJECT) WAZINDULIWA
yaani makala yote MRADI WA KUHAMASISHA WANAWAKE NA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA UWAKILISHI WA KISIASA (WRPRE PROJECT) WAZINDULIWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MRADI WA KUHAMASISHA WANAWAKE NA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA UWAKILISHI WA KISIASA (WRPRE PROJECT) WAZINDULIWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/mradi-wa-kuhamasisha-wanawake-na-vijana.html
0 Response to "MRADI WA KUHAMASISHA WANAWAKE NA VIJANA KUSHIRIKI KATIKA UWAKILISHI WA KISIASA (WRPRE PROJECT) WAZINDULIWA"
Post a Comment