Loading...

UONGOZI WA SIMBA HAUWEZI KUONGEA CHOCHOTE KITENDO CHA KUPOKWA POINTI NA TFF MPAKA WAPATE BARUA

Loading...
UONGOZI WA SIMBA HAUWEZI KUONGEA CHOCHOTE KITENDO CHA KUPOKWA POINTI NA TFF MPAKA WAPATE BARUA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UONGOZI WA SIMBA HAUWEZI KUONGEA CHOCHOTE KITENDO CHA KUPOKWA POINTI NA TFF MPAKA WAPATE BARUA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UONGOZI WA SIMBA HAUWEZI KUONGEA CHOCHOTE KITENDO CHA KUPOKWA POINTI NA TFF MPAKA WAPATE BARUA
link : UONGOZI WA SIMBA HAUWEZI KUONGEA CHOCHOTE KITENDO CHA KUPOKWA POINTI NA TFF MPAKA WAPATE BARUA

soma pia


UONGOZI WA SIMBA HAUWEZI KUONGEA CHOCHOTE KITENDO CHA KUPOKWA POINTI NA TFF MPAKA WAPATE BARUA


IMG-20170418-WA0068-640x360
Na Carlos Nichombe
UONGOZI WA Klabu ya Simba umesema hauwezi kuzungumzia kitendo cha wao kunyang’anywa pointing tatu na Kamati ya Sheria,katiba na Hadhi za wachezaji mpaka hapo watakapopewa nakala ya maamuzi ya kikao cha kamati hiyo.
Makamu wa Rais wa Simba, Godfrey Nyange (Kaburu) alisema wamesikia taatifa mbalimbali zenye mapungufu kutoka kwa viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ambazo zinaonesha kutokuzingatia kanuni na taratibu katika kupokonya pointing klabu yao.

Kaburu alisema wanashangazwa na kitendo cha katibu MKUU wa Shirikisho la Soka Tanzania,Selestine Mwesigwa kukiri kuwa Mchezaji wa Kagera Sugar Fakh Mohammed alikuwaa na kadi tatu hivyo kuamua kuinyang’anya Simba pointing kutokana na kutotimiza baadhi ya vigezo wakati wa kudai haki yao.
Alisema wanashangaa kuona TFF inashindwa kutimiza majukuku yao wap wenyewe pasipo kusubiri klabu ziendekupeleka malalamiko na ndipo waweze kuchukua maamuzi wanayopaswa kuyachukua.
“Hili suala lipo wazi kutokana na wao wenyewe kukiri kwamba yule Mchezaji anakadi tatu pasipo kujali kama sisi tumekata rufaa au hatujakata,pia hatujajua ni mambo gani yanayoendelea kwa sababu mpaka hivi sasa hatujapata barua rasmi inayotueleza kile kilichofanyika kwa siku zote ambazo kamati ya Sheria,katiba na Hadhi za wachezaji walijadili kwa siku zote,” alisema Kaburu.
Hata hibyo Kaburu aliongeza kuwa in vyema TFF ikatambha wajibu wake katika kuhakikishasoka la Tanzania linazidi kuganyavizuri kadri zinavyozidi kwenda mbele kwani kitendo cha kutoa na kinyang’anya pointing kinaharibu heshima ya soka.
Wakati huo huo,Katibu MKUU wa YANGA,Boniface Mkwasa aliitaka TFF ku badili kanuni na taratibu zinazoruhusu timu Fulani kupewa pointi za mezani endapo wanakuwa wameshindwa kupata ushindi katika Michezo yao ya awali.
Alisema kitendo cha kutoa pointi za mezani kinazidi kuzorotesha soka la Tanzania na timu ndogo ndogo zimekuwa ndio waathirika wakubwa wa vitendo hivyo.


Hivyo makala UONGOZI WA SIMBA HAUWEZI KUONGEA CHOCHOTE KITENDO CHA KUPOKWA POINTI NA TFF MPAKA WAPATE BARUA

yaani makala yote UONGOZI WA SIMBA HAUWEZI KUONGEA CHOCHOTE KITENDO CHA KUPOKWA POINTI NA TFF MPAKA WAPATE BARUA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UONGOZI WA SIMBA HAUWEZI KUONGEA CHOCHOTE KITENDO CHA KUPOKWA POINTI NA TFF MPAKA WAPATE BARUA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/uongozi-wa-simba-hauwezi-kuongea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UONGOZI WA SIMBA HAUWEZI KUONGEA CHOCHOTE KITENDO CHA KUPOKWA POINTI NA TFF MPAKA WAPATE BARUA"

Post a Comment

Loading...