Loading...

PROFESA KITILA MKUMBO ATEMBELEA MTAMBO WA KUZALISHIA MAJI WA RUVU JUU

Loading...
PROFESA KITILA MKUMBO ATEMBELEA MTAMBO WA KUZALISHIA MAJI WA RUVU JUU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PROFESA KITILA MKUMBO ATEMBELEA MTAMBO WA KUZALISHIA MAJI WA RUVU JUU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PROFESA KITILA MKUMBO ATEMBELEA MTAMBO WA KUZALISHIA MAJI WA RUVU JUU
link : PROFESA KITILA MKUMBO ATEMBELEA MTAMBO WA KUZALISHIA MAJI WA RUVU JUU

soma pia


PROFESA KITILA MKUMBO ATEMBELEA MTAMBO WA KUZALISHIA MAJI WA RUVU JUU

Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji ametembelea Tenki la Maji la terminal lilipo karibu na chuo kikuu cha ardhi ambalo linapokea maji kutoka mtambo wa Ruvu juu na chini.

Pia ametembelea tenki kubwa jipya la Maji lilipo Kibamba Luguruni ambalo linapokea maji kutoka mtambo wa Ruvu juu na ametembelea Ofisi za Dawasco Mkoa wa Kibaha na kumalizia ziara yake kwa kutembelea mtambo wa kuzalishia Maji wa Ruvu juu ambapo umeanza kuzalisha maji mapya leo.
 Katibu mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo akiwa ameambatana na Ofisa Mtendaji mkuu Dawasco,mhandisi, Cyprian Luhemeja katika ziara ya kutembelea   Mtambo Ruvu juu uliopo mkoani Pwani.
 Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi wa DAWASA, mhandisi Romanus Mwangingo, akitoa maelezo mafupi kwa Katibu mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo kuhusu tenki jipya la Maji lilipo Kibamba Luguruni ambalo linapokea maji kutoka mtambo wa Ruvu juu mara baada ya kufanya ziara ya kutembelea Mtambo huo wa uzalishaji Maji wa Ruvu juu uliopo Mlandizi, mkoani Pwani. Picha na Emmanuel Massaka, Globu ya jamii.
 Ofisa Mtendaji mkuu Dawasco, mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelezo mafupi kwa Katibu mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo katika ziara ya kutembelea Mtambo Ruvu juu uliopo mkoani Pwani.
 Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala PROFESA KITILA MKUMBO ATEMBELEA MTAMBO WA KUZALISHIA MAJI WA RUVU JUU

yaani makala yote PROFESA KITILA MKUMBO ATEMBELEA MTAMBO WA KUZALISHIA MAJI WA RUVU JUU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PROFESA KITILA MKUMBO ATEMBELEA MTAMBO WA KUZALISHIA MAJI WA RUVU JUU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/profesa-kitila-mkumbo-atembelea-mtambo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "PROFESA KITILA MKUMBO ATEMBELEA MTAMBO WA KUZALISHIA MAJI WA RUVU JUU"

Post a Comment

Loading...