Loading...
title : MICHUZI TV: DALADALA LAPIGA MWELEKA NA KUINGIA MTARONI JIJINI DAR LEO
link : MICHUZI TV: DALADALA LAPIGA MWELEKA NA KUINGIA MTARONI JIJINI DAR LEO
MICHUZI TV: DALADALA LAPIGA MWELEKA NA KUINGIA MTARONI JIJINI DAR LEO
imeelezwa kwamba Basi hilo lenye namba za usajili T 958 DEJ aina ya Hino lililokuwa likitokea Posta kuelekea upande wa Moroco, lilijikuta likiingia mtaroni humo, baada ya dereva wake kushindwa mbinu za kulizuia kufuatia gari nyingine iliyoingia ghafla barabarani ikitokea upande wa Kituo cha Polisi Oysterbay, hivyo kutokana mwendo kasi wa basi hilo, ilishindwa kusimama na kuparamia mti uliokuwa kando ya barabara na kuingia mtaroni.
Inadaiwa kuwa abiria wote waliokuwepo kwenye basi hilo walitoka salama na kuendelea na safari zao.
Hivi ndivyo muonekano wa Basi hilo baada ya kuparamia mti.
Mashuhuda wa Ajali hiyo wakiwa katika eneo la tukio.
Hivyo makala MICHUZI TV: DALADALA LAPIGA MWELEKA NA KUINGIA MTARONI JIJINI DAR LEO
yaani makala yote MICHUZI TV: DALADALA LAPIGA MWELEKA NA KUINGIA MTARONI JIJINI DAR LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MICHUZI TV: DALADALA LAPIGA MWELEKA NA KUINGIA MTARONI JIJINI DAR LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/michuzi-tv-daladala-lapiga-mweleka-na.html
0 Response to "MICHUZI TV: DALADALA LAPIGA MWELEKA NA KUINGIA MTARONI JIJINI DAR LEO"
Post a Comment