Loading...

SHERIA ISEMAVYO KUHUSU HAKI NA WAJIBU WA MMILIKI ARDHI, NA GHARAMA ZA KUKIUKA SHERIA ZA UMILIKI”

Loading...
SHERIA ISEMAVYO KUHUSU HAKI NA WAJIBU WA MMILIKI ARDHI, NA GHARAMA ZA KUKIUKA SHERIA ZA UMILIKI” - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHERIA ISEMAVYO KUHUSU HAKI NA WAJIBU WA MMILIKI ARDHI, NA GHARAMA ZA KUKIUKA SHERIA ZA UMILIKI”, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHERIA ISEMAVYO KUHUSU HAKI NA WAJIBU WA MMILIKI ARDHI, NA GHARAMA ZA KUKIUKA SHERIA ZA UMILIKI”
link : SHERIA ISEMAVYO KUHUSU HAKI NA WAJIBU WA MMILIKI ARDHI, NA GHARAMA ZA KUKIUKA SHERIA ZA UMILIKI”

soma pia


SHERIA ISEMAVYO KUHUSU HAKI NA WAJIBU WA MMILIKI ARDHI, NA GHARAMA ZA KUKIUKA SHERIA ZA UMILIKI”


unnamed
Mwanasheria; Rachel Kilasi – Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , akifafanua sheria ya Ardhi na. 4 ya mwaka 1999 sambamba na Umiliki wa Ardhi (Haki, Wajibu na uzingatiaji wa ulipaji wa Pango la Kodi ya Ardhi kwa Mmiliki).
………………..
Mwananchi yoyote ana haki ya kupatiwa Hatimiliki ambayo ni nyaraka halali ya umiliki wa ardhi baada ya kupata ridhaa ya Kamishna au Kamati na kulipa ada stahili. Hatimiliki hutolewa ndani ya siku 90 mpaka 180 baada ya ridhaa husika.

Katika fungu la 32 la Sheria ya Ardhi ya namba 4 ya mwaka 1999, masharti ya umiliki wa ardhi yanaainishwa kuwa ni ya aina tatu, ambayo ni; Umiliki wa miaka 33, umiliki wa miaka 66 na umiliki ulio mkubwa zaidi ni wa miaka 99.

Aidha, katika fungu la 33 la Sheria ya Ardhi ya namba 4 ya mwaka 1999, inaeleza sharti la mmiliki wa ardhi katika kutoa malipo ya pango la Ardhi kwa kila mwaka wa fedha unapoanza.

Mwananchi hana budi kutimiza masharti ya ulipaji kodi ya pango la Ardhi kwa wakati. Mwananchi anapokiuka sharti hili; fungu la 49 – 50 la Sheria ya Ardhi ya namba 4 ya mwaka 1999 inaeleza gharama zake ni pamoja na  kutozwa tozo au riba, Kupelekwa Mahakamani na Kufutiwa umiliki wa ardhi.

Mwananchi zingatia ulipaji wa Kodi la Pango la Ardhi, kutimiza wajibu wako, kuondoa usumbufu na kuongeza pato la Taifa Letu.
Na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi


Hivyo makala SHERIA ISEMAVYO KUHUSU HAKI NA WAJIBU WA MMILIKI ARDHI, NA GHARAMA ZA KUKIUKA SHERIA ZA UMILIKI”

yaani makala yote SHERIA ISEMAVYO KUHUSU HAKI NA WAJIBU WA MMILIKI ARDHI, NA GHARAMA ZA KUKIUKA SHERIA ZA UMILIKI” Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHERIA ISEMAVYO KUHUSU HAKI NA WAJIBU WA MMILIKI ARDHI, NA GHARAMA ZA KUKIUKA SHERIA ZA UMILIKI” mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/sheria-isemavyo-kuhusu-haki-na-wajibu.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHERIA ISEMAVYO KUHUSU HAKI NA WAJIBU WA MMILIKI ARDHI, NA GHARAMA ZA KUKIUKA SHERIA ZA UMILIKI”"

Post a Comment

Loading...