Loading...
title : SIMBACHAWENE APIGA MARUFUKU KWA WAAJIRI KUZUIA UHAMISHO WA WANANDOA
link : SIMBACHAWENE APIGA MARUFUKU KWA WAAJIRI KUZUIA UHAMISHO WA WANANDOA
SIMBACHAWENE APIGA MARUFUKU KWA WAAJIRI KUZUIA UHAMISHO WA WANANDOA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), George Simbachawene, akijibu hoja za wabunge, hasa la uhamisho wa watumishi wakiwemo wanandoa wanaotenganishwa kutokana na majukumu ya ajira, alikemea tabia ya maofisa watumishi kuzuia uhamisho wa watumishi wenye ndoa kuhama kutoka kituo kimoja cha kazi kwenda kituo kingine kwa lengo la kuwafuata wenzao.
Alisema kuwazuia ni kuwanyima haki ya msingi, na kuwaagiza wabunge katika maeneo yao wasaidia kusimamia haki za watumishi. Lazima sheria za utumishi zizingatiwe, walimu hawa au watumishi wanayo haki ya kutoka sehemu moja kwenda nyingine, lakini pia kuishi na wenza wao, lakini utadhani mtumishi anapoomba ni kama anasaidiwa, hapana ni haki yake ya msingi, waheshimiwa tusimamie haki za watumishi,” alisema Simbachawene
Hivyo makala SIMBACHAWENE APIGA MARUFUKU KWA WAAJIRI KUZUIA UHAMISHO WA WANANDOA
yaani makala yote SIMBACHAWENE APIGA MARUFUKU KWA WAAJIRI KUZUIA UHAMISHO WA WANANDOA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMBACHAWENE APIGA MARUFUKU KWA WAAJIRI KUZUIA UHAMISHO WA WANANDOA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/simbachawene-apiga-marufuku-kwa-waajiri.html
0 Response to "SIMBACHAWENE APIGA MARUFUKU KWA WAAJIRI KUZUIA UHAMISHO WA WANANDOA"
Post a Comment