Loading...

Waziri Aboud afunga warsha ya kutathmini kanuni za afya kimataifa

Loading...
Waziri Aboud afunga warsha ya kutathmini kanuni za afya kimataifa - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Aboud afunga warsha ya kutathmini kanuni za afya kimataifa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Aboud afunga warsha ya kutathmini kanuni za afya kimataifa
link : Waziri Aboud afunga warsha ya kutathmini kanuni za afya kimataifa

soma pia


Waziri Aboud afunga warsha ya kutathmini kanuni za afya kimataifa

 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Bi. Asha Abdalla akimkaribisha Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud kufunga warsha ya kutathmini kanuni za afya kimataifa katika ukumbi wa Hoteli ya Ocen View, (kushoto) Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Zanzibar Dk. Ghirmany Andermichal.
 Kiongozi wa warsha ya kutathmini kanuni za Afya kimataifa kutoka (WHO) AFRO Dk. Ambrose Jalisuna akitoa muhtasari wa taarifa ya awali ya tathmini waliyoifanya Zanzibar.
 Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Zanzibar Dk. Ghirmany Andermichal akitoa tarifa ya shirika hilo katika warsha ya siku tano ya kutathmini kanuni za Afya kimataifa iliyofanyika Hoteli ya Ocen View Kilimani Mjini Zanzibar.
 Mgeni rasmin Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud akifunga warsha ya siku tano ya kutathmini kanuni za Afya kimataifa Zanzibar iliyofanyika Hoteli ya Ocen View Kilimani Mjini Zanzibar.
 Mgeni rasmin Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mohamed Aboud akifunga warsha ya siku tano ya kutathmini kanuni za Afya kimataifa Zanzibar iliyofanyika Hoteli ya Ocen View Kilimani Mjini Zanzibar.
 Baadhi ya washiriki wa warsha ya siku tano ya kutathmini kanuni za Afya kimataifa wakifuatilia ufungaji wa warsha hiyo.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.


Hivyo makala Waziri Aboud afunga warsha ya kutathmini kanuni za afya kimataifa

yaani makala yote Waziri Aboud afunga warsha ya kutathmini kanuni za afya kimataifa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Aboud afunga warsha ya kutathmini kanuni za afya kimataifa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/waziri-aboud-afunga-warsha-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Waziri Aboud afunga warsha ya kutathmini kanuni za afya kimataifa"

Post a Comment

Loading...