Loading...
title : COVENANT BANK YAJIDHATITI KUBORESHA MAISHA YA MAMA LISHE NCHINI
link : COVENANT BANK YAJIDHATITI KUBORESHA MAISHA YA MAMA LISHE NCHINI
COVENANT BANK YAJIDHATITI KUBORESHA MAISHA YA MAMA LISHE NCHINI
Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja akifafanua jambo kwa mam lishe mbalimbali wa Dar es Salaam wakati wa semina ya mafunzo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, Benki hiyo itawawezesha Mama lishe wote nchini kwa kuwaunganisha na huduma za bima ya matibabu na bima ya mazishi, huku wakiwezeshwa kutumia huduma za benki hiyo. Huduma hizo zinatotela kwa kushirikiana na Taasisi ya Basila Mwanukuzi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja (Katikati) akisisitiza jambo kwa Kiongozi wa mama Lishe jijini Dar es Salaam, Getruda Kweka wakati akizungumza na waandishi wa habari, Benki hiyo itawawezesha Mama lishe wote nchini kwa kuwaunganisha na huduma za bima ya matibabu na bima ya mazishi, huku wakiwezeshwa kutumia huduma za benki hiyo. Kulia ni Mwanzilishi wa Taasisi ya Basila Mwanukuzi.
Mama lishe wakiwa wanasikiliza maelezo kutoka kwa maofisa wa benki, ( Hawapo pichani)
Picha ya Pamoja
Hivyo makala COVENANT BANK YAJIDHATITI KUBORESHA MAISHA YA MAMA LISHE NCHINI
yaani makala yote COVENANT BANK YAJIDHATITI KUBORESHA MAISHA YA MAMA LISHE NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala COVENANT BANK YAJIDHATITI KUBORESHA MAISHA YA MAMA LISHE NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/covenant-bank-yajidhatiti-kuboresha.html
0 Response to "COVENANT BANK YAJIDHATITI KUBORESHA MAISHA YA MAMA LISHE NCHINI"
Post a Comment