Loading...

Utalii : Waziri mkuu wa Zamani wa Taifa la Israel Atembelea Serengeti na Ngorongoro

Loading...
Utalii : Waziri mkuu wa Zamani wa Taifa la Israel Atembelea Serengeti na Ngorongoro - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Utalii : Waziri mkuu wa Zamani wa Taifa la Israel Atembelea Serengeti na Ngorongoro, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Utalii : Waziri mkuu wa Zamani wa Taifa la Israel Atembelea Serengeti na Ngorongoro
link : Utalii : Waziri mkuu wa Zamani wa Taifa la Israel Atembelea Serengeti na Ngorongoro

soma pia


Utalii : Waziri mkuu wa Zamani wa Taifa la Israel Atembelea Serengeti na Ngorongoro




Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akisalimiana na Waziri Mkuu wa zamani wa taifa la Israel,Ehud Barak walipokutana katika eneo la Olduvai Gorge katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro akiwa njiani kuelekea katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (katikati) ni Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa(TANAPA) Pascal Shelutete.







Waziri Mkuu wa zamani wa Taifa la Israel,Ehud Barak (kushoto) akimueleza jambo Naibu Waziri wa Malisili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani baada ya kukutana katika eneo la Makumbusho ya kale la Olduvai Gorge ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro akiwa njiani kuelekea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (kushoto) ni Meneja Mawasiliano wa TANAPA,Pascal Shelutete.



Mhandisi Ramo Makani akimueleza jambo Waziri Mkuu wa zamani wa Taifa la Israel ,Ehud Barak baada ya kukutana katika Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro akiwa njiani kuelekea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.







Naibu Waziri wa Malisili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani (katikati) akimongoza Waziri Mkuu wa zamani wa Taifa la Israel ,Ehud Barak (kushoto) kutembelea eneo la Olduvai Gorge .kulia ni Meneja Mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Pascal Shelutete.



Waziri Mkuu wa zamani wa taifa la Israel ,Ehud Barak akitia saini katika kitabu cha wageni huku Naibu Waziri wa Malisili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akishuhudia mara baada ya kufika eneo la Olduvai Gorge akiwa njiani kuelekea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kushudia tendo la wanyama aina ya Nyumbu wahamao kwa makundi.



Mhandisi Ramo Makani akimueleza jambo Ehud Barak.



Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akieleza mambo ambayo amepata kuongea na Waziri Mkuu wa Israel baada ya kukutana nae katika ene la Olduvai Gorge.



Naibu Waziri wa Malisili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akiwa katika picha ya pamoja na Watalii wa ndani baada ya kukutana nao katika eneo la Olduvai Gorge.




Na Dixon Busagaga wa Kanda ya Kaskazini.


Hivyo makala Utalii : Waziri mkuu wa Zamani wa Taifa la Israel Atembelea Serengeti na Ngorongoro

yaani makala yote Utalii : Waziri mkuu wa Zamani wa Taifa la Israel Atembelea Serengeti na Ngorongoro Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Utalii : Waziri mkuu wa Zamani wa Taifa la Israel Atembelea Serengeti na Ngorongoro mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/utalii-waziri-mkuu-wa-zamani-wa-taifa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Utalii : Waziri mkuu wa Zamani wa Taifa la Israel Atembelea Serengeti na Ngorongoro"

Post a Comment

Loading...