Loading...

Wabunge Kenya wamtembelea Lowassa

Loading...
Wabunge Kenya wamtembelea Lowassa - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wabunge Kenya wamtembelea Lowassa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wabunge Kenya wamtembelea Lowassa
link : Wabunge Kenya wamtembelea Lowassa

soma pia


Wabunge Kenya wamtembelea Lowassa


Mwandishi Wetu 

Edward Lowassa
WABUNGE 11 kutoka Kenya na wageni mbalimbali jana walimtembelea Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kijijini kwake Ngarash mkoani Arusha. 

Huku wakiongozana na vikundi vya wajasiriamali vya mkoani humo, wabunge hao walifanya mazungumzo na mbunge huyo wa zamani wa Monduli ambaye katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka juzi, alishika nafasi ya pili nyuma ya Rais John Magufuli. 

Msemaji wa Lowassa, Aboubakary Liongo alithibitisha ugeni wa wabunge hao na kubainisha kuwa walikuwa na ujumbe maalumu kwa Lowassa. 

Wabunge hao wanamtemebela Lowassa katika kipindi ambacho Kenya inatarajia kufanya Uchaguzi Mkuu Agosti. 

Licha ya Liongo kutopatikana kufafanua lengo la ziara hiyo, duru za siasa zinaeleza kuwa wabunge hao walikwenda kuchota uzoefu wa uchaguzi kwa Waziri Mkuu huyo, ambaye katika uchaguzi wa mwaka juzi alitoa upinzani mkali kwa chama tawala CCM. 

Katika uchaguzi huo, Dk Magufuli alipata kura milioni 8.8 sawa na asilimia 58.47 akifuatiwa na Lowassa aliyepata kura milioni 6.07, sawa na asilimia 39.97. 

Matokeo hayo yalimfanya Rais Magufuli kupata asilimia chache ya kura kuliko wagombea wengine wa CCM, lakini licha ya uchache huo amejiongezea umaarufu kutokana na hatua ambazo amekuwa akizichukua tangu alipoapishwa Novemba 5, 2015.



Hivyo makala Wabunge Kenya wamtembelea Lowassa

yaani makala yote Wabunge Kenya wamtembelea Lowassa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wabunge Kenya wamtembelea Lowassa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/wabunge-kenya-wamtembelea-lowassa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wabunge Kenya wamtembelea Lowassa"

Post a Comment

Loading...