Loading...

Wadau John Focus Lyimo na Bernadetha Francis Munishi wameremeta

Loading...
Wadau John Focus Lyimo na Bernadetha Francis Munishi wameremeta - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Wadau John Focus Lyimo na Bernadetha Francis Munishi wameremeta, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Wadau John Focus Lyimo na Bernadetha Francis Munishi wameremeta
link : Wadau John Focus Lyimo na Bernadetha Francis Munishi wameremeta

soma pia


Wadau John Focus Lyimo na Bernadetha Francis Munishi wameremeta

 Bwana harusi John Focus Lyimo akimlisha ndafu mkewe   Bernadetha Francis Munishi   kwenye mnuso wa nguvu walioandaa kusherehekea harusi yao katika Ukumbi wa 'Mwenge Social Hall' jijini Dar es Salaam Jumamosi. Harusi yao ilifungwa katika Kanisa Katoliki la Mt. Rita wa Kashia, Kimara Temboni kabla ya hafla hiyo.
Bi. Harusi Bernadetha Francis Munishi (kulia) akimlisha keki mumewe John Focus Lyimo kwenye hafla kabambe ya harusi yao iliyofanyika Ukumbi wa 'Mwenge Social Hall' jana jijini Dar es Salaam. Harusi yao ilifungwa katika Kanisa Katoliki la Mt. Rita wa Kashia, Kimara Temboni. Bwana harusi, John Focus Lyimo (katikati) akiandaa ndafu maalum kwa ajili ya kumlisha mkewe ikiwa ni ishara ya kumkaribisha nyumbani mara baada ya ndoa yao. Maharusi, John Focus Lyimo na mkewe Bi. Bernadetha Munishi pamoja na wapambe wao wakiwa kwenye hafla hiyo.Bwana harusi, John Focus Lyimo (wa pili kushoto) akimtambulisha mkewe Bi. Bernadetha Munishi (wa pili kulia) kwa wageni waalikwa kwenye hafla kabambe ya harusi yao iliyofanyika Ukumbi wa 'Mwenge Social Hall' jana jijini Dar es Salaam. Waliokaa ni wapambe wa maharusi.  


Hivyo makala Wadau John Focus Lyimo na Bernadetha Francis Munishi wameremeta

yaani makala yote Wadau John Focus Lyimo na Bernadetha Francis Munishi wameremeta Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Wadau John Focus Lyimo na Bernadetha Francis Munishi wameremeta mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/04/wadau-john-focus-lyimo-na-bernadetha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Wadau John Focus Lyimo na Bernadetha Francis Munishi wameremeta"

Post a Comment

Loading...