Loading...

OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAHIMIZA USHIRIKIANO NA WADAU

Loading...
OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAHIMIZA USHIRIKIANO NA WADAU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAHIMIZA USHIRIKIANO NA WADAU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAHIMIZA USHIRIKIANO NA WADAU
link : OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAHIMIZA USHIRIKIANO NA WADAU

soma pia


OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAHIMIZA USHIRIKIANO NA WADAU

 Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Mdemu akitoa maelezo wakati wa Mkutano wa Kazi kati ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Wadau  ( hawapo pichani)kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali zilizopo  Mkoani Tabora ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma. Madhumuni ya  Kikao kazi hicho ilikuwa ni  kukutana wa wadau hao kwa lengo la kujadiliana, kubadilishana mawazo na kuzitafutia ufumbuzi changamoto mbalimbali ambazo wadau hao pamoja na  Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wanakumbana  nazo wakati wa utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku.  Wadau walioshiriki kikao  hicho ni kutoka Mahakama,  Takukuru, Magereza, Polisi, Wakala wa Barabara, Maliasili, Halmashauri, Mawakili wa Serikali, Wanasheria na  wanajamii. Kushoto kwa   Naibu Mwanasheria Mkuu   Wakili Mfawidhierikali  Kanda ya Tabora Bw. Jackson Bulashi na kulia ni  Kamanda wa Takukuru Tabora  Bw. Fidelis Kalungura
 Sehemu ya  wadau ambao wamekuwa na  mazungumzo na majadiliano na Ujumbe wa  Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa  Serikali  ulioongozwa na Naibu  Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Bw. Gerson  Mdemu. Majadiliano hayo  yamefanyika katika ukumbi wa  mikutano wa Takukuru Mkoani Tabora siku ya  Ijumaa ( June 16) ikiwa ni sehemu ya  Maadhimisho ya  Wiki ya Utumishi wa Umma.
Wadau kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali, Mahakama, Polisi, Takukuru, Maliasili, Magereza,  Halmashauri,  Wakala wa Barabara,Mawakili wa Serikali na Wanasheria wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa kikao kazi cha majadiliano baina ya  wadau hao  na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa  Serikali ambapo  wameazimia kuzifanyia kazi changamoto mbalimbali zilizoibuliwa katika kikao hicho na kisha kupeana mrejesho. Kwa taarifa zaidi BOFYA HAPA


Hivyo makala OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAHIMIZA USHIRIKIANO NA WADAU

yaani makala yote OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAHIMIZA USHIRIKIANO NA WADAU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAHIMIZA USHIRIKIANO NA WADAU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/06/ofisi-ya-mwanasheria-mkuu-wa-serikali_18.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAHIMIZA USHIRIKIANO NA WADAU"

Post a Comment

Loading...