Loading...

Ajali ya basi, lori yaua wanafunzi 2 Dar

Loading...
Ajali ya basi, lori yaua wanafunzi 2 Dar - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Ajali ya basi, lori yaua wanafunzi 2 Dar, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Ajali ya basi, lori yaua wanafunzi 2 Dar
link : Ajali ya basi, lori yaua wanafunzi 2 Dar

soma pia


Ajali ya basi, lori yaua wanafunzi 2 Dar


Hussein Ndubikile

Gilles Muroto
WANAFUNZI wawili wamepoteza maisha na watu wengine 24 kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea jana eneo la Tazara, Dar es Salaam.

Akizungumza na gazeti hili jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Gilles Muroto, alisema ajali hiyo ilitokea asubuhi baada ya basi aina ya Eicher namba T376 BFT likitoka Gongo la Mboto kuelekea katikati ya Jiji kugonga lori aina ya Scania namba T273 CVT na kusababisha maafa hayo.

"Watoto wawili wanafunzi wamepoteza maisha na majeruhi kukimbizwa hospitalini huku wengi wao wakiruhusiwa na wachache kulazwa kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili," alisema Kamanda Muroto.

Alitaja waliopoteza maisha kuwa ni Iklam Athumani (15) mwanafunzi wa Sekondari ya Msimbazi na Sakina Imam (14) wa sekondari ya Mchikichini wote wa kidato cha kwanza.

Aliongeza kuwa ajali hiyo ilisababisha majeruhi 24 na kati yao, 21 waliruhusiwa huku akibainisha kuwa ni watatu pekee ndio wamelazwa  hospitalini hapo wakiendelea na matibabu.

Alisisitiza kuwa chanzo cha ajali bado hakijajulikana na kwamba madereva wote wawili wanashikiliwa na Polisi kwa mahojiano zaidi.


Hivyo makala Ajali ya basi, lori yaua wanafunzi 2 Dar

yaani makala yote Ajali ya basi, lori yaua wanafunzi 2 Dar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Ajali ya basi, lori yaua wanafunzi 2 Dar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/ajali-ya-basi-lori-yaua-wanafunzi-2-dar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Ajali ya basi, lori yaua wanafunzi 2 Dar"

Post a Comment

Loading...