Loading...

Biashara : Benki ya CRDB Yawapa Semina Wanahisa Wake , Jijini Arusha

Loading...
Biashara : Benki ya CRDB Yawapa Semina Wanahisa Wake , Jijini Arusha - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Biashara : Benki ya CRDB Yawapa Semina Wanahisa Wake , Jijini Arusha, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Biashara : Benki ya CRDB Yawapa Semina Wanahisa Wake , Jijini Arusha
link : Biashara : Benki ya CRDB Yawapa Semina Wanahisa Wake , Jijini Arusha

soma pia


Biashara : Benki ya CRDB Yawapa Semina Wanahisa Wake , Jijini Arusha



Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB PLC, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina ya Wanahisa wa Benki hiyo, iliyofanyika leo kwenye katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha. Semina hiyo, itafuatiwa na Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki hiyo, utakaofanyika kesho Mei 20, 2017.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB PLC, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina ya Wanahisa wa Benki hiyo, iliyofanyika leo kwenye katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.Semina hiyo, itafuatiwa na Mkutano Mkuu wa 22 wa Wanahisa wa Benki hiyo, utakaofanyika kesho Mei 20, 2017.

Mwenyekiti wa semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB, Mwasajuni akiongoza semina hiyo

Meja kuu ikifatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa kwa wanahisa.

Muwasilisha Mada ya iliyohusu Mambo yananoathiri Thamani na Bei za Hisa katika Soko, Laurian Malauri kutoka Orbit Securities akisisitiza jambo wakati akiwasilisha mada yake hiyo.

Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambwa akipitia moja ya vitabu vya mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye semina ya Wanahisa wa Benki hiyo, iliyofanyika leo kwenye katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.

Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB PLC, Tully Mwambapa akifatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa kwenye semina ya Wanahisa wa Benki hiyo, iliyofanyika leo kwenye katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.

Naibu Wakurugenzi Watendaji wa Benki ya CRDB PLC, Saugata Bandyopadhyay (kulia) na Esther Kitoka wakiteta jambo, wakati wa ufunguzi wa semina ya Wanahisa wa Benki hiyo, iliyofanyika leo kwenye katika Ukumbi wa Simba uliopo ndani ya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, Jijini Arusha.
















































































































































































































































Hivyo makala Biashara : Benki ya CRDB Yawapa Semina Wanahisa Wake , Jijini Arusha

yaani makala yote Biashara : Benki ya CRDB Yawapa Semina Wanahisa Wake , Jijini Arusha Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Biashara : Benki ya CRDB Yawapa Semina Wanahisa Wake , Jijini Arusha mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/biashara-benki-ya-crdb-yawapa-semina.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Biashara : Benki ya CRDB Yawapa Semina Wanahisa Wake , Jijini Arusha"

Post a Comment

Loading...