Loading...

Kesi ya Kaburu na Aveva, Upelelezi bado haujakamilika

Loading...
Kesi ya Kaburu na Aveva, Upelelezi bado haujakamilika - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kesi ya Kaburu na Aveva, Upelelezi bado haujakamilika, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kesi ya Kaburu na Aveva, Upelelezi bado haujakamilika
link : Kesi ya Kaburu na Aveva, Upelelezi bado haujakamilika

soma pia


Kesi ya Kaburu na Aveva, Upelelezi bado haujakamilika

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeihirisha Kesi ya utakatishaji fedha inayomkabili Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na makamu wake, Geofrey Nyange maarufu Kaburu hadi August 16 mwaka huu kwa sababu upelelezi haujakamilika.

Kesi hiyo ilitajwa leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Godfrey Mwambapa na wakili wa serikali, Elia Athanas ambaye amedai upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika, hivyo anaomba ipangiwe tarehe nyingine.

Hakimu Mwambapa alikubali maombi ya wakili wa Serikali Athanas na  aliahirsha kesi hiyo hadi August 16 mwaka huu.Kesi ya Kaburu na Aveva, Upelelezi bado haujakamilika

Aveva na Kaburu wamerudishwa tena mahabusu mpaka kesi yao itakapotajwa tena.


Hivyo makala Kesi ya Kaburu na Aveva, Upelelezi bado haujakamilika

yaani makala yote Kesi ya Kaburu na Aveva, Upelelezi bado haujakamilika Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kesi ya Kaburu na Aveva, Upelelezi bado haujakamilika mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/08/kesi-ya-kaburu-na-aveva-upelelezi-bado.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kesi ya Kaburu na Aveva, Upelelezi bado haujakamilika"

Post a Comment

Loading...