Loading...
title : BOTI YA MV MKONGO YASAFIRISHWA KUELEKEA UTETE PWANI
link : BOTI YA MV MKONGO YASAFIRISHWA KUELEKEA UTETE PWANI
BOTI YA MV MKONGO YASAFIRISHWA KUELEKEA UTETE PWANI
Lori lililopakia Boti ya MV MKONGO likipita chini ya daraja la Furahisha jijini Mwanza. Boti hiyo inayomilikiwa na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) inasafirishwa kuelekea mkoa wa Pwani kwa ajili ya kutoa huduma ya kusafirisha abiria kati ya Utete na Mkongo
Boti ya MV MKONGO inayomilikiwa na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) ikiwa imepakiwa kwenye lori, Boti hiyo inasafirishwa kwa njia ya barabara kuelekea Utete Pwani kwa ajili ya kutoa huduma ya kusafirisha abiria kati ya Utete na Mkongo.
Lori lililobeba Boti ya MV MKONGO inayomilikiwa na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) likiwa njiani kuelekea mkoa wa Pwani, boti hiyo inatarajiwa kutoa huduma ya kusafirisha abiria kati ya Utete na Mkongo.PICHA ZOTE NA THERESIA MWAMI (TEMESA)
Hivyo makala BOTI YA MV MKONGO YASAFIRISHWA KUELEKEA UTETE PWANI
yaani makala yote BOTI YA MV MKONGO YASAFIRISHWA KUELEKEA UTETE PWANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BOTI YA MV MKONGO YASAFIRISHWA KUELEKEA UTETE PWANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/boti-ya-mv-mkongo-yasafirishwa-kuelekea.html
0 Response to "BOTI YA MV MKONGO YASAFIRISHWA KUELEKEA UTETE PWANI"
Post a Comment