Loading...
title : BENKI YA TIB CORPORATE WAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUWATEMBELEA TRC, NIC
link : BENKI YA TIB CORPORATE WAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUWATEMBELEA TRC, NIC
BENKI YA TIB CORPORATE WAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUWATEMBELEA TRC, NIC
BENKI ya TIB Corporate washeherekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kutembelea wateja wake.
Leo Oktoba 11 benki hiyo wamewatembelea Shirika la Reli Tanzania (TRC) na Shirika la Bima la Taifa (NIC) ikiwa ni kwaajili ya kuwashukuru pamoja na kujitadhimini jinsi ya utoaji wa huduma kwa wateja wao.
Akizungumza na wafanyakazi wa benki hiyo Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa amewashukuru wafanyakazi wa benki hiyo kwa kuwaona wamhimu katika kuendeleza gurudumu serikali ya viwanda hapa nchini kwa utunzaji wa fedha.
Nae Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Sam Kamanga amewashukuru kwa kuona nchango wa shirika hilo pia pia amewaasa kujitangaza zaidi ili kuondoa mkanganyiko uliopo katika jina la benki hiyo.
Mkurugenzi mkuu wa benki ya TIB Corporate Frank Nyabundege akizungumza na wafanyakazi wa beki ya TIB Corporate jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja ambayo hufanyika kila mwaka ifikapo Oktoba.
Wafanyakazi wa benki ya TIB Corporate wakimkabidhi ua Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa baada ya kutembelewa ofisini kwake na wafanyakazi wa TIB Corporate jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni sehemu ya kuwashukuru wateja wa benki hiyo katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa akifurahia jambo mara baada ya kutembelewa na wafanyakazi wa benki ya TIB Corporate jijini Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi wa benki ya TIB Corporate wakiwamkabidhi Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Sam Kamanga mara baada ya kumtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni kwaajili ya kushaherekea pamoja na kujitathimini katika wiki ya huduma kwa wateja ambapo benki hiyo imeadhimisha mwaka huu kwa kuwatembelea wateja wake mahali walipo.
Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Sam Kamanga mwenye miwaniakizungumza na wafanyakazi wa benki ya TIB Corporate jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni adhima ya benki hiyo kuwatembelea wateja wake.
Picha za pamoja za wafanyakazi wa benki ya TIB Corporate.
Hivyo makala BENKI YA TIB CORPORATE WAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUWATEMBELEA TRC, NIC
yaani makala yote BENKI YA TIB CORPORATE WAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUWATEMBELEA TRC, NIC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA TIB CORPORATE WAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUWATEMBELEA TRC, NIC mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/benki-ya-tib-corporate-waadhimisha-wiki.html
0 Response to "BENKI YA TIB CORPORATE WAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUWATEMBELEA TRC, NIC"
Post a Comment