Loading...
title : BULEMBO AENDELEA NA ZIARA YAKE MERERANI LEO
link : BULEMBO AENDELEA NA ZIARA YAKE MERERANI LEO
BULEMBO AENDELEA NA ZIARA YAKE MERERANI LEO
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Abdallah Bulembo akipewa na Wazee, heshima ya Kiongozi Mkuu wa Kabila la Wamasai la Ulaigwanani, alipowasili ukumbini kuzungumza na Watendaji na viongozi na wanachama wa CCM wakiwemo mabalozi, katika mji mdogo wa Mererani mkoani Manyara, leo, May 27, 2017. (Picha na Bashir Nkoromo).
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi, Abdallah Bulembo akizungumza ukumbini na Watendaji wa serikali, viongozi na wanachama wa CCM wakiwemo wajumbe wa nyumba kumi, katika mji mdogo wa Mererani mkoani Manyara, leo May 27, 2017.
Viongozi na wanachama wa CCM wakiwemo wajumbe wa nyumba kumi wakishangilia wakati Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa CCM, Abdallah Bulembo alipozunumza nao ukumbini katika mji mdogo wa Mererarini mkoani
Hivyo makala BULEMBO AENDELEA NA ZIARA YAKE MERERANI LEO
yaani makala yote BULEMBO AENDELEA NA ZIARA YAKE MERERANI LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BULEMBO AENDELEA NA ZIARA YAKE MERERANI LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/bulembo-aendelea-na-ziara-yake-mererani.html
0 Response to "BULEMBO AENDELEA NA ZIARA YAKE MERERANI LEO"
Post a Comment