Loading...

BW. RAYMOND MUSHUMBUSI NA BI. SUSAN BARNABAS WAFUNGA NDOA KANISA LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM

Loading...
BW. RAYMOND MUSHUMBUSI NA BI. SUSAN BARNABAS WAFUNGA NDOA KANISA LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BW. RAYMOND MUSHUMBUSI NA BI. SUSAN BARNABAS WAFUNGA NDOA KANISA LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BW. RAYMOND MUSHUMBUSI NA BI. SUSAN BARNABAS WAFUNGA NDOA KANISA LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM
link : BW. RAYMOND MUSHUMBUSI NA BI. SUSAN BARNABAS WAFUNGA NDOA KANISA LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM

soma pia


BW. RAYMOND MUSHUMBUSI NA BI. SUSAN BARNABAS WAFUNGA NDOA KANISA LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM

Mwambawahabari
url
Mfanyakazi wa Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Raymond Mushumbusi akiwa pamoja na Mkewe
Bi.Susan Barnabas jana wakati walipofunga ndoa takatifu na kuwa mwili mmoja
kwenye kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam
wakisindikizwa na wasimamizi wao Benedict Mwakasindile na Bi. Leticia
Mwakaila , Ndoa hiyo ilifungwa na Padri Padri Haule wa Kanisa hilo Timu
nzima ya Fullshangwe inawatakiwa maisha marefu na yenye furaha katika ndoa
yenu huku mkijaaliwa kuiongeza dunia.
MUS2
Bibi harusi Susan Barnabas na
msimamizi wake Leticia Mwakaila wakiwa kwenye gari kabla ya kuingia
kanisani tayari kwa tukio la kufungwa kwa ndoa hiyo jana.
MUS3
Mfanyakazi wa Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Raymond Mushumbusi akimvisha pete Mkewe
Susan Barnabas wakati walipofunga ndo katika kanisa la Mtakatifu Petro
Oysterbay jana jijini Dar es salaa.

MUS4
Mfanyakazi wa Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Raymond Mushumbusi akiwa pamoja na Mkewe
Susan Barnabas wakishiriki sala wakati wa ibada ya kufungwa kwa ndoa yao
jana.
MUS5
Padri Haule wa kanisa la Mtakatifu
Petro akiziombe pete za maharusi huku maharusi hao wakiwa
wamezishikilia.
MUS6
Bibi Harusi Susan Barnabas akipozi
kwa picha kwenye gari.
MUS7
ibi Harusi Susan Barnabas akimvisha
pete mumewe Bw. Raymond Mushumbusi wakati walipofunga ndo kwenye kanisa la
Mtakatifu Petro Osterbay jijini Dar es salaa huku Padri Haule akishuhudia
tukio hilo kulia ni Bw. Benedict Mwakasindile msimamizi wa maharusi
hao.
MUS8
Maharusi wakisaini vyeti vya ndao
mara baada ya kufungwa kwa ndoa hiyo.
MUS9



Hivyo makala BW. RAYMOND MUSHUMBUSI NA BI. SUSAN BARNABAS WAFUNGA NDOA KANISA LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM

yaani makala yote BW. RAYMOND MUSHUMBUSI NA BI. SUSAN BARNABAS WAFUNGA NDOA KANISA LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BW. RAYMOND MUSHUMBUSI NA BI. SUSAN BARNABAS WAFUNGA NDOA KANISA LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/bw-raymond-mushumbusi-na-bi-susan.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BW. RAYMOND MUSHUMBUSI NA BI. SUSAN BARNABAS WAFUNGA NDOA KANISA LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY JIJINI DAR ES SALAAM"

Post a Comment

Loading...