Loading...
title : JAMHURI DODOMA KUAMUA BINGWA WA FA CUP TAREHE 27 MAY
link : JAMHURI DODOMA KUAMUA BINGWA WA FA CUP TAREHE 27 MAY
JAMHURI DODOMA KUAMUA BINGWA WA FA CUP TAREHE 27 MAY
Mbao FC ya jijini Mwanza itakutana na Simba ya Dar es Salaam katika fainali ya mashindano ya Kombe la FA itakayopigwa Mei 27.
Mbao FC imeingia katika fainali hizo baada ya kuifunga Yanga bao 1 -0 katika mchezo wa nusu fainali uliopigwa katika uwanja wa CCM kirumba, huku simba SC wameingia fainali kwa kuifunga Azam FC bao 1-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Taifa Dar es salaam.
Hivyo makala JAMHURI DODOMA KUAMUA BINGWA WA FA CUP TAREHE 27 MAY
yaani makala yote JAMHURI DODOMA KUAMUA BINGWA WA FA CUP TAREHE 27 MAY Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JAMHURI DODOMA KUAMUA BINGWA WA FA CUP TAREHE 27 MAY mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/jamhuri-dodoma-kuamua-bingwa-wa-fa-cup.html
0 Response to "JAMHURI DODOMA KUAMUA BINGWA WA FA CUP TAREHE 27 MAY"
Post a Comment