Loading...

SHAMBA LA MPUNGA LA WANANCHI LA MWASHIKAMILE WAFUNGULIWA MAJI

Loading...
SHAMBA LA MPUNGA LA WANANCHI LA MWASHIKAMILE WAFUNGULIWA MAJI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHAMBA LA MPUNGA LA WANANCHI LA MWASHIKAMILE WAFUNGULIWA MAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHAMBA LA MPUNGA LA WANANCHI LA MWASHIKAMILE WAFUNGULIWA MAJI
link : SHAMBA LA MPUNGA LA WANANCHI LA MWASHIKAMILE WAFUNGULIWA MAJI

soma pia


SHAMBA LA MPUNGA LA WANANCHI LA MWASHIKAMILE WAFUNGULIWA MAJI

Shamba la Wananchi lililoko katika wilaya ya Mbarali katika kata ya Kapunga ambalo limekuwa likitumia maji kwa muda wote bila ya kuyalipia chochote Serikalini lijulikanalo kama Mwashikamile lenye ukubwa wa ekari 800 limepewa ruhusa ya kufungua mfereji wa maji uliokuwa umefungwa baada ya Shamba hilo kulipa madeni yote ya maji na kulipa faini waliyopigwa na Kikosi kazi cha Kitaifa cha kunusuru Mto Ruaha.

Akiongea na Wananchi wa eneo hilo la mwashikamile Mwenyekiti wa Kikosi kazi hiko, Richard Muyungi amewahimiza viongozi wa shamba hilo kuhakikisha hawaenedelei kuchepusha mifereji ya maji bila kuyalipia na kutekeleza maagizo ya serikali ya kupata vibali vote halal vya matumizi ya maji na kilimo cha umwagilaji. Kikosi kazi kimewaruhusu Wananchi kuendelea na umwagiliaji wa maji katika mashamba yao ya Mpunga mpaka pale watakapovuna.

Muyungi alisisitiza kuwa hakuna wananchi wote wameruhusiwa kuendelea kutumia maji hadi kuhakikisha kuwa mazao yote mashambani yanavunwa la msingi ni kuea maji hayo wayalipie. Alsema wananchi katika mashamba memgi tayari wamekwishatoa michango ya kulipia maji lakini viongozi hawataki kulipia maji jambo ambalo haliwezi kuvumilika.

Aidha akiongea, Mwenyekiti wa eneo hilo la Mwashikamile, Leonard Mwashikamile ameshukuru sana Kikosi kazi kwa kuwaruhusu tena kufungua mfereji wa maji na pia aliahidi kwa niaba ya Wananchi wa kijiji hicho kutunza maji yote yanayotumika kwa umwagiliaji na kuwa atahakikisha Wananchi hawachepushi maji ya wizi tena.

Shamba la Mwashikamile lilikuwa ni moja kati ya mashamba pamoja na skimu za umwagiliaji zilizopigwa faini na Kikosi kazi cha Kitaifa cha kunusuru ikolojia ya Mto Ruaha katokana na kuchepusha maji bila kuyalipia na bila kibali chochote..
Wananchi wa Kijiji cha Mwasikamile ambao ni Wakulima wa mashamba ya mpunga ya Mwashikamile wakishirikiana kwa pamoja kufungua mfereji wa kupitishia maji ili kumwagilia mashamba yao baada ya kulipa faini waliyotozwa na Kikosi kazi cha kunusuru ikolojia ya Mto Ruaha.
Mwenyekiti wa Kikosi cha Kitaifa cha kunusuru ikolojia ya Mto Ruaha, Richard Muyungi akiongea na Wakulima wa mashammba ya Mpunga ya Mwashikamile mara baada ya kuzuru shambani hapo.


Hivyo makala SHAMBA LA MPUNGA LA WANANCHI LA MWASHIKAMILE WAFUNGULIWA MAJI

yaani makala yote SHAMBA LA MPUNGA LA WANANCHI LA MWASHIKAMILE WAFUNGULIWA MAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHAMBA LA MPUNGA LA WANANCHI LA MWASHIKAMILE WAFUNGULIWA MAJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/shamba-la-mpunga-la-wananchi-la_2.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHAMBA LA MPUNGA LA WANANCHI LA MWASHIKAMILE WAFUNGULIWA MAJI"

Post a Comment

Loading...