Loading...
title : Kaole Snake Park yawazawadia wafanyakazi wake Mei Mosi
link : Kaole Snake Park yawazawadia wafanyakazi wake Mei Mosi
Kaole Snake Park yawazawadia wafanyakazi wake Mei Mosi
Mkurugenzi wa Kaole Snake Park, Kauthar Kiguhe (kushoto) akikabidhi cheti kwa Mpishi wa Mgahawa na kituo hicho cha vivutio cha Kaole Snake Park, Ally Selemani Hamisi ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wa wafanyakazi wa kituo hicho katika kuadhimisha siku ya Wafanyakazi Duniani. Hafla hiyo imefanyika jana katika kituo hicho.
Mkurugenzi wa Kaole Snake Park, Kauthar Kiguhe (kushoto) akikabidhi cheti kwa Mhudumu wa Mgahawa wa Kaole Snake Park, Cresencia Kasunga.
Mkurugenzi wa Kaole Snake Park, Kauthar Kiguhe akizungumza katika hafla fupi ya kupongeza wafanyakazi wa kituo hicho, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wa wafanyakazi wa kituo hicho katika kuadhimisha siku ya Wafanyakazi Duniani.
Mkurugenzi wa Kaole Snake Park, Kauthar Kiguhe akifurahi jambo na Mhifadhi wa Wanyama wa Kituo cha Kaole Snake Park, Pius Mtemi baada ya kumkabidhi cheti cha shukrani.
Picha ya pamoja.
Hivyo makala Kaole Snake Park yawazawadia wafanyakazi wake Mei Mosi
yaani makala yote Kaole Snake Park yawazawadia wafanyakazi wake Mei Mosi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kaole Snake Park yawazawadia wafanyakazi wake Mei Mosi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/kaole-snake-park-yawazawadia.html
0 Response to "Kaole Snake Park yawazawadia wafanyakazi wake Mei Mosi"
Post a Comment