Loading...

KATIBU MKUU SIHABA NKINGA ATEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO ARUSHA

Loading...
KATIBU MKUU SIHABA NKINGA ATEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO ARUSHA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KATIBU MKUU SIHABA NKINGA ATEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO ARUSHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KATIBU MKUU SIHABA NKINGA ATEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO ARUSHA
link : KATIBU MKUU SIHABA NKINGA ATEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO ARUSHA

soma pia


KATIBU MKUU SIHABA NKINGA ATEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO ARUSHA

Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga(wa Pili kutoka kushoto) Mkurugenzi Maendeleo ya watoto Margaret Mussai(wa Pili kutoka kulia), Mkurugenzi wa Shirika linalohudumia watoto wenye uhitaji katika malezi na elimu-SOS Children Villages Tanzania Bw.Anatory Rugaimukamu (wa kwanza kulia) na Mkurugenzi wa Shirika SOS Children Villages Tanzania Mkoa wa Arusha Bw.Francis Msollo (kulia) wakienda kuangalia makazi katika kijiji cha watoto.
Katibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga akiteta jambo na watoto katika kijiji cha watoto kilicho chini ya Shirika la SOS Children Villages alipofanya ziara katika shirika hilo leo Ngaramtoni Mkoani Arusha
Mama Mlezi katika kijiji cha watoto kilicho chini ya Shirika la SOS Children Villages Bi. Cylichelia Byabato akimuonesha Katibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga sehemu ya malazi ya watoto katika Kijiji hicho leo Ngaramtoni Mkoani Arusha.
Katibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga akifurahia jambo na watoto katika kijiji cha watoto kilicho chini ya Shirika la SOS Children Villages alipofanya ziara katika shirika hilo leo Ngaramtoni Mkoani Arusha
Katibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto (Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii)Bi. Sihaba Nkinga akila chakula cha mchana na watoto katika kijiji cha watoto kilicho chini ya Shirika la SOS Children Villages alipofanya ziara katika shirika hilo leo Ngaramtoni Mkoani Arusha.



Hivyo makala KATIBU MKUU SIHABA NKINGA ATEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO ARUSHA

yaani makala yote KATIBU MKUU SIHABA NKINGA ATEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU SIHABA NKINGA ATEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO ARUSHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/katibu-mkuu-sihaba-nkinga-atembelea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KATIBU MKUU SIHABA NKINGA ATEMBELEA KIJIJI CHA WATOTO ARUSHA"

Post a Comment

Loading...