Loading...
title : MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI MKOA WA SHINYANGA
link : MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI MKOA WA SHINYANGA
MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI MKOA WA SHINYANGA
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mheshimiwa Zainab Telack. Kushoto ni Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga ACP Muliro Jumanne Muliro.Kulia ni Mwenyekiti wa Klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga, Bw. Kadama Malunde.
Mwenyekiti wa Klabu ya waandishi mkoa wa Shinyanga,Kadama Malunde akizungumza wakati wa mkutano wa wadau wa habari mkoa wa Shinyanga kuadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani Mei 3,2017
Katibu wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Shinyanga,Stephen Wang'anyi akisisitiza jambo ukumbini.
akizungumza ukumbini
Picha ya pamoja Mkuu wa mkoa wa Shinyanga mheshimiwa Zainab Telack,wadau wa habari na waandishi wa habari
Picha ya pamoja Mkuu wa mkoa wa Shinyanga mheshimiwa Zainab Telack,wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Shinyanga na waandishi wa habari. Kwa taarifa kamili BOFYA HAPA
Hivyo makala MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI MKOA WA SHINYANGA
yaani makala yote MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI MKOA WA SHINYANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI MKOA WA SHINYANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/maadhimisho-ya-siku-ya-uhuru-wa-vyombo_3.html
0 Response to "MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI MKOA WA SHINYANGA"
Post a Comment