Loading...

MAFUNZO YA UJASILIAMALI YAFANYIKA PEMBA

Loading...
MAFUNZO YA UJASILIAMALI YAFANYIKA PEMBA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAFUNZO YA UJASILIAMALI YAFANYIKA PEMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAFUNZO YA UJASILIAMALI YAFANYIKA PEMBA
link : MAFUNZO YA UJASILIAMALI YAFANYIKA PEMBA

soma pia


MAFUNZO YA UJASILIAMALI YAFANYIKA PEMBA

Katibu Mkuu wizara ya Nchi Afisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Salum Maulid Salum, akizungumza kwenye ufungaji wa semina kwa wajasiriamali, juu ya mtangamano wa Afrika Mashariki, iliofanyika uwanja wa Gombani Chakechake Pemba,  na kutayarishwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe: Issa Haji Ussi “Gavu’ akizungumza kwenye ufungaji wa semina ya siku nne, kwa wajasiriamali kisiwani Pemba, juu ya mtangamano wa Afrika Mashariki, iliofanyika uwanja wa Gombani Chakechake.
Wajasiriamali, wafanyabiashara na baadhi ya wakuu wa taasisi za serikali kisiwani Pemba, wakisikiliza hutuba ya Waziri wa Nchi Afisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe: Issa Haji Ussi “Gavu’ wakati akifunga semina juu ya mtangamano wa Afrika Mashariki, iliofanyika uwanja wa Gombani Chakechake.

HABARI ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala MAFUNZO YA UJASILIAMALI YAFANYIKA PEMBA

yaani makala yote MAFUNZO YA UJASILIAMALI YAFANYIKA PEMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAFUNZO YA UJASILIAMALI YAFANYIKA PEMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mafunzo-ya-ujasiliamali-yafanyika-pemba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAFUNZO YA UJASILIAMALI YAFANYIKA PEMBA"

Post a Comment

Loading...