Loading...

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif,Atowa Salamu za Pole na Rambirambi za Vifo Vya Wananfunzi Mkoani Arushi.

Loading...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif,Atowa Salamu za Pole na Rambirambi za Vifo Vya Wananfunzi Mkoani Arushi. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif,Atowa Salamu za Pole na Rambirambi za Vifo Vya Wananfunzi Mkoani Arushi., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif,Atowa Salamu za Pole na Rambirambi za Vifo Vya Wananfunzi Mkoani Arushi.
link : Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif,Atowa Salamu za Pole na Rambirambi za Vifo Vya Wananfunzi Mkoani Arushi.

soma pia


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif,Atowa Salamu za Pole na Rambirambi za Vifo Vya Wananfunzi Mkoani Arushi.

Na. Othman Khamis OMPR. 
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetoa mkono  wa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mheshimiwa Mrisho Gambo kutokana na vifo vya Wafanuzi 32, Walimu pamoja na Dereva  wa Skuli ya Mchepuo wa Kingereza ya Luck Vicent kufuatia  Basi walilokuwa wakisafiria kupindika katika Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha.

Salamu hizo za pole zimetolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Ali Mohamed Shein na Wananchi wote wa Zanzibarn kufuatia msiba huo mzito kwa Taifa.
Balozi Seif Ali Iddi alisema Wananchi wa Zanzibar wamepokea kwa huzuni, masikitiko na mshtuko mkubwa taarifa ya ajali hiyo iliyotokea katika Kijiji cha Rhotia, Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha na kusababisha  vifo hivyo pamoja na Majeruhi kadhaa.

Alisema huo ni msiba mkubwa siyo tu kwa Wazazi, Ndugu na Jamaa wa Watoto hao bali pia ni kwa Taifa zima, kwani Watoto hao walikuwa nguvu kazi kubwa iliyotumainiwa kuja kulitumikia Taifa laWatanzania baada ya kumaliza Masomo yao.

Balozi Seif  alimuomba Mwenyezi Mungu awape wazazi na familia za Watoto hao moyo wa subira na uvumilivu katika kipindi hichi kigumu cha msiba na Wananchi wote Nchini Tanzania wako pamoja katika msiba huo.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia alimuomba Mwenyezi Muungu mola wa viumbe wote azilaze roho za marehemu wote mahali pema pepono amin na wale majeruhi awaponyeshe haraka ili warudi kuendelea na maisha yao ya kila siku.



Hivyo makala Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif,Atowa Salamu za Pole na Rambirambi za Vifo Vya Wananfunzi Mkoani Arushi.

yaani makala yote Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif,Atowa Salamu za Pole na Rambirambi za Vifo Vya Wananfunzi Mkoani Arushi. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif,Atowa Salamu za Pole na Rambirambi za Vifo Vya Wananfunzi Mkoani Arushi. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/makamu-wa-pili-wa-rais-wa-zanzibar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif,Atowa Salamu za Pole na Rambirambi za Vifo Vya Wananfunzi Mkoani Arushi."

Post a Comment

Loading...