Loading...

Bodi ya Mapato Tawi la Pemba Wakabidhi Vifaa Kwa Ajili ya Hospitali ya Wete.

Loading...
Bodi ya Mapato Tawi la Pemba Wakabidhi Vifaa Kwa Ajili ya Hospitali ya Wete. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Bodi ya Mapato Tawi la Pemba Wakabidhi Vifaa Kwa Ajili ya Hospitali ya Wete., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Bodi ya Mapato Tawi la Pemba Wakabidhi Vifaa Kwa Ajili ya Hospitali ya Wete.
link : Bodi ya Mapato Tawi la Pemba Wakabidhi Vifaa Kwa Ajili ya Hospitali ya Wete.

soma pia


Bodi ya Mapato Tawi la Pemba Wakabidhi Vifaa Kwa Ajili ya Hospitali ya Wete.

Afisa Mdhamini wa Bodi ya Mapatoa Zanzibar (ZRB) Tawi la Pemba,Ndg.Said Ali Mohamed (kushoto) akimkabidhi mashuka 50 Katibu Afisa Tawala wa Mkoa wa Kaskazini Pemba,Ndg.Ahmed Khalid Abdalla (kulia) akipokea kwa niaba ya Wizara ya Afya kwa hospitali ya Wilaya ya Wete Pemba hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika hospitali ya Wete Pemba. 
Afisa Mdhamini wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Tawi la Pemba,Ndg.Said Ali Mohamed akikabidhi magodoro 50 kwa Uongozi wa Serikali ya Mkoa wa Kaskazini Pemba. kwa ajili ya matumizi ya hospitali ya Wete Pemba.
Afisa Mdhamini wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB)Tawi la Pemba,Ndg Sail Ali Mohammed akipokea shukrani kutoka kwa Mgaga Mkuu wa Hospitali ya Wete Dk Mbwana Shoka Salum, kwa msaada wao huo walioukabidhi kwa hospitali ya Wete Pemba kwa matumini ya Wananchi wanaofika hospitalini hapo kupata huduma za matibabu.

Maofisa wa Bodi ya Mapato Tawi la Pemba wakiwa katika picha ya pamoja baada ya hafla ya kukabidhi vifaa kwa ajili ya Wodi za hospitali ya Wete Pemba. ,wakiwa pamoja na Meneja wa bodi hiyo katikati Said Ali Mohamed, baada ya kukabidhi msaada kwa Uongozi wa Serikali ya Mkoa na Wizara ya Afya
Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


Hivyo makala Bodi ya Mapato Tawi la Pemba Wakabidhi Vifaa Kwa Ajili ya Hospitali ya Wete.

yaani makala yote Bodi ya Mapato Tawi la Pemba Wakabidhi Vifaa Kwa Ajili ya Hospitali ya Wete. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Bodi ya Mapato Tawi la Pemba Wakabidhi Vifaa Kwa Ajili ya Hospitali ya Wete. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/bodi-ya-mapato-tawi-la-pemba-wakabidhi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Bodi ya Mapato Tawi la Pemba Wakabidhi Vifaa Kwa Ajili ya Hospitali ya Wete."

Post a Comment

Loading...