Loading...

MAKAMU WA RAIS,SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU TATU YA POLISI WANAWAKE KUTOKA JUMUIYA YA MAENDELEO YA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA JIJINI DAR LEO

Loading...
MAKAMU WA RAIS,SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU TATU YA POLISI WANAWAKE KUTOKA JUMUIYA YA MAENDELEO YA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA JIJINI DAR LEO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS,SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU TATU YA POLISI WANAWAKE KUTOKA JUMUIYA YA MAENDELEO YA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA JIJINI DAR LEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS,SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU TATU YA POLISI WANAWAKE KUTOKA JUMUIYA YA MAENDELEO YA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA JIJINI DAR LEO
link : MAKAMU WA RAIS,SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU TATU YA POLISI WANAWAKE KUTOKA JUMUIYA YA MAENDELEO YA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA JIJINI DAR LEO

soma pia


MAKAMU WA RAIS,SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU TATU YA POLISI WANAWAKE KUTOKA JUMUIYA YA MAENDELEO YA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA JIJINI DAR LEO

 
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya polisi wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SARPCO,leo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere,jijini ,Dar es Salaam.Mh Samia ndiye mgeni rasmi wa mafunzo hayo.Picha na Adam Mzee/VPO.
 Makamu wa Rais Mh.Samia Suluhu Hassan akifuatilia moja ya taarifa wakati wa ufunguzi wa  mafunzo ya siku tatu ya polisi wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SARPCO.Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere ,Dar es Salaam.Kushoto kwake ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,IGP Ernest Mangu.

Makamu wa Rais (wa nne kulia) Mh.Samia Suluhu Hassan akishiriki ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya polisi wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SARPCO,leo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere,jijini ,Dar es Salaam.Mh Samia ndiye mgeni rasmi wa mafunzo hayo.Picha na Adam Mzee/VPO

 Mafunzo ya siku tatu ya polisi wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SARPCO,yakiendele leo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere,jijini ,Dar es Salaam.Mh Samia ndiye mgeni rasmi wa mafunzo hayo.Picha na Adam Mzee/VPO.  
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni wakati wa Mafunzo ya siku tatu ya polisi wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SARPCO,yakiendele leo katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere,jijini ,Dar es Salaam.

Baadhi ya Askari wanaoshiriki ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya polisi wanawake kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya nchi za kusini mwa Afrika SARPCO,wakiwasili kwa Gwaride katika.Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere ,Dar es Salaam.


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS,SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU TATU YA POLISI WANAWAKE KUTOKA JUMUIYA YA MAENDELEO YA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA JIJINI DAR LEO

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS,SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU TATU YA POLISI WANAWAKE KUTOKA JUMUIYA YA MAENDELEO YA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA JIJINI DAR LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS,SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU TATU YA POLISI WANAWAKE KUTOKA JUMUIYA YA MAENDELEO YA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA JIJINI DAR LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/makamu-wa-raissamia-suluhu-hassan_17.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS,SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU TATU YA POLISI WANAWAKE KUTOKA JUMUIYA YA MAENDELEO YA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA JIJINI DAR LEO"

Post a Comment

Loading...