Loading...
title : MAONESHO YA MPIRA WA MIGUU WA FREE STYLE KUANZA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
link : MAONESHO YA MPIRA WA MIGUU WA FREE STYLE KUANZA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
MAONESHO YA MPIRA WA MIGUU WA FREE STYLE KUANZA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Uchezaji wa Mpira wa Miguu Tanzania ‘Free Style Football’ , Morison Jumanne (wakwanza kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya maonesho ya kimataifa ya uchezaji wa mpira wa miguu unaonza leo katika maeneo mbalimbali ya wazi na mitaa jijini Dar es Salaam, katikati ni Makamu wa Rais wa Uchezaji wa Mpira wa Miguu Tanzania, Pascal Changa na kushoto ni Bingwa wa Dunia wa Uchezaji wa Mpira wa Miguu 2012 kutoka nchi ya Japan ,Kotaro Tokuda
Bingwa wa Dunia wa Uchezaji wa Mpira wa Miguu 2012 kutoka nchi ya Japan ,Kotaro Tokuda akizungumza na waandishi wa habari juu ya ziara yake nchini Tanzania ni kwa ajili ya maonesho ya wazi ya mchezo huo Mkoa wa Dar es Salaam.
Bingwa wa Dunia wa Uchezaji wa Mpira wa Miguu 2012 kutoka nchi ya Japan, Kotaro Tokuda akionyesha umahiri wa mchezo kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Picha na Emmanuel Massaka, Globu ya Jamii.
Hivyo makala MAONESHO YA MPIRA WA MIGUU WA FREE STYLE KUANZA LEO JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote MAONESHO YA MPIRA WA MIGUU WA FREE STYLE KUANZA LEO JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAONESHO YA MPIRA WA MIGUU WA FREE STYLE KUANZA LEO JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/maonesho-ya-mpira-wa-miguu-wa-free.html
0 Response to "MAONESHO YA MPIRA WA MIGUU WA FREE STYLE KUANZA LEO JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment