Loading...
title : MBUNGE AWESO AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUIPATIA VIFAA TIBA WILAYA YA PANGANI
link : MBUNGE AWESO AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUIPATIA VIFAA TIBA WILAYA YA PANGANI
MBUNGE AWESO AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUIPATIA VIFAA TIBA WILAYA YA PANGANI
Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso kulia akimkabidhi vitanda moja kati ya 25 Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani,Sabas Chambasi ambavyo ni miongoni mwa mgao wa vifaa tiba walivyopewa na Rais John Magufuli kwa ajili ya wilaya ya Pangani kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Pangani,Zainabu Issa
Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso kulia akimkabidhi Mgao wa mashuka 50 kutoka kwa Rais John Magufuli Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani,Sabas Chambasi kwa ajili ya kusaidia huduma za afya kwenye wilaya ya Pangani katika halfa iliyofanyika kwenye hospitali ya wilaya ya Pangani juzi wa pili kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Pangani,Zainabu Issa
Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso kushoto akiwa ameambatana na Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu Issa wakitembelea hospitali ya wilaya ya Pangani kabla ya kukabidhi Msaada wa vifaa tiba ambavyo vimetolewa na Rais John Magufuli
Mganga Mkuu wa wilaya ya Pangani,Dkt Juma Mfanga kulia akimueleza Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Changamoto zinazowakabili wakati wa hafla ya makabidhiano ya vifaa tiba ambavyo vimetolewa na Rais John Magufuli kwa Mbunge huyo kwa ajili ya wilaya ya Pangani ambayo ni mashuka 50 na vitanda 25
Hivyo makala MBUNGE AWESO AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUIPATIA VIFAA TIBA WILAYA YA PANGANI
yaani makala yote MBUNGE AWESO AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUIPATIA VIFAA TIBA WILAYA YA PANGANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE AWESO AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUIPATIA VIFAA TIBA WILAYA YA PANGANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mbunge-aweso-amshukuru-rais-magufuli.html
0 Response to "MBUNGE AWESO AMSHUKURU RAIS MAGUFULI KWA KUIPATIA VIFAA TIBA WILAYA YA PANGANI"
Post a Comment