Loading...
title : MBUNGE AZZA HAMAD ATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VITUO VINNE VYA AFYA KISHAPU SHINYANGA
link : MBUNGE AZZA HAMAD ATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VITUO VINNE VYA AFYA KISHAPU SHINYANGA
MBUNGE AZZA HAMAD ATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VITUO VINNE VYA AFYA KISHAPU SHINYANGA
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga mheshimiwa Azza Hilal Hamad Jumamosi Mei 6,2017 amekabidhi Vifaa tiba vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 12.6 katika vituo vya afya vinne vya afya ambavyo ni Nhobola, Songwa, Ng’wang’haranga na Dulisi vilivyopo wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga.
Hapa ni ndani ya kituo cha afya Nhobola wilayani Kishapu ambapo Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga mheshimiwa Azza Hilal Hamad (wa pili kushoto) akisikiliza maelezo ya Mganga mkuu wa Kituo cha afya Nhobola kilichopo kata ya Talaga,Bhujiku Mganga Nyanda
Mganga mkuu wa Kituo cha afya Nhobola Bhujiku Mganga Nyanda akieleza jinsi akina mama wajawazito walivyokuwa wanapata changamoto wakati wa kupata matibabu
Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga mheshimiwa Azza Hilal Hamad (CCM) akiwa katika wodi ya wazazi amebeba mtoto wa mkazi wa Kata ya Talaga baada ya kujifungua katika kituo cha afya cha Nhobola.
Hivyo makala MBUNGE AZZA HAMAD ATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VITUO VINNE VYA AFYA KISHAPU SHINYANGA
yaani makala yote MBUNGE AZZA HAMAD ATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VITUO VINNE VYA AFYA KISHAPU SHINYANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE AZZA HAMAD ATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VITUO VINNE VYA AFYA KISHAPU SHINYANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/mbunge-azza-hamad-atoa-msaada-wa-vifaa.html
0 Response to "MBUNGE AZZA HAMAD ATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VITUO VINNE VYA AFYA KISHAPU SHINYANGA"
Post a Comment