Loading...

OTOSIM 2017 BY MAKEKE NI MOTO WA KUOTEA MBALI!

Loading...
OTOSIM 2017 BY MAKEKE NI MOTO WA KUOTEA MBALI! - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa OTOSIM 2017 BY MAKEKE NI MOTO WA KUOTEA MBALI!, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : OTOSIM 2017 BY MAKEKE NI MOTO WA KUOTEA MBALI!
link : OTOSIM 2017 BY MAKEKE NI MOTO WA KUOTEA MBALI!

soma pia


OTOSIM 2017 BY MAKEKE NI MOTO WA KUOTEA MBALI!

 Unapomuongelea MAKEKE si jina geni kwenye Tasnia ya mitindo nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla. Mwaka jana alikuja na collection ya aina yake iliyoitwa TABID - The African Beauty in The darkness, ( uzuri wa Afrika gizani) collection hio imefanya vizuri sana 2016/2017 kwani imeoneshwa kwenye Majukwaa mbalimbali makubwa ya mitindo. Na mwaka huu mwanamitindo huyu asiyeishiwa MAKEKE amekuja na kitu kipya kabisa, kinachoitwa OTOSIM2017 - ON THE OTHER SIDE OF MAKEKE, akiwa na maana ya ladha/ubunifu  wa aina Nyingine. Kwa Mara ya kwanza OTOSIM imeoneshwa kwenye jukwaa kubwa la ZANZIBAR SWAHILI FESTIVAL  mwezi uliopita na kufanya maajabu makubwa jukwaani. Kwa watu waliokuwepo pale walijionea utamu wa show hiyo  ya Ki - MAKEKE. Msanii huyu wa mitindo ameahidi mambo mengi matamu zaidi kwa mwaka huu 2017. Tuendelee kusubiri.



Hivyo makala OTOSIM 2017 BY MAKEKE NI MOTO WA KUOTEA MBALI!

yaani makala yote OTOSIM 2017 BY MAKEKE NI MOTO WA KUOTEA MBALI! Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala OTOSIM 2017 BY MAKEKE NI MOTO WA KUOTEA MBALI! mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/otosim-2017-by-makeke-ni-moto-wa-kuotea.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "OTOSIM 2017 BY MAKEKE NI MOTO WA KUOTEA MBALI!"

Post a Comment

Loading...