Loading...
title : SAIGON social club ya jijini Dar es salaam imefanya khitma ya kurehemu waliotangulia mbele ya haki
link : SAIGON social club ya jijini Dar es salaam imefanya khitma ya kurehemu waliotangulia mbele ya haki
SAIGON social club ya jijini Dar es salaam imefanya khitma ya kurehemu waliotangulia mbele ya haki
Leo SAIGON social club ya jijini Dar es salaam imefanya khitma ya kurehemu wazee na ndugu wa Kariakoo waliotangulia kwa Mwenyeenzi Mungu. Mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohamed Gharib Bilali. Kila mwaka klabu hii hufanya khitma ikiwa ni mojawapo ya shughuli katika kalenda yake
Mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohamed Gharib Bilali akiwasili makao makuu ya Saigon Social Club kuhudhuria khitma hiyo
Mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohamed Gharib Bilali akikaribishwa makao makuu ya Saigon Social Club kuhudhuria khitma hiyo
Sehemu ya wanachama wa Saigon Social club na wageni waalikwa
Baadhi ya viongozi wa Saigon Social club
Mashekhe wakiongoza khitma
Khitma inaendelea
Hivyo makala SAIGON social club ya jijini Dar es salaam imefanya khitma ya kurehemu waliotangulia mbele ya haki
yaani makala yote SAIGON social club ya jijini Dar es salaam imefanya khitma ya kurehemu waliotangulia mbele ya haki Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SAIGON social club ya jijini Dar es salaam imefanya khitma ya kurehemu waliotangulia mbele ya haki mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2017/05/saigon-social-club-ya-jijini-dar-es.html
0 Response to "SAIGON social club ya jijini Dar es salaam imefanya khitma ya kurehemu waliotangulia mbele ya haki"
Post a Comment